Walugaluga mkiwa na mabwanga yenu mnaona mmepata kiwanja cha kujirusha, ππππ mnasafari ndefu sana, karibu upate upepo wa ziwa ukiyoyoma kwenye beaches zenye hadhi ya nyota 5.AcHA ushambawako katembelee uone burudan zilizopo hapo
Hicho kiguest house nikionee wivu, nishindwe kuonea wivu miradi mikubwa kama flyover, BRT n.k.
Huna loloteHicho kiguest house nikionee wivu, nishindwe kuonea wivu miradi mikubwa kama flyover, BRT n.k.
Kati ya watanzania wajinga na nyie mpo, mnafurahia reli ya kuinufaisha Zambia kwanini nyie msinufaike nayo kwanza?Wavimbe na wapusuke tu kama chura tulisha wambia nyanda za juu kusin Kuna uchumi Nyerere hakuwa mjinga kukubaliana kujenga reli HiYo na Ninasikia na wanaenda kuendeleza Zambia kuunganisha na zambia
Beach zimejaa Nyasa tofauti na beach zenu mlizogeuza chooWalugaluga mkiwa na mabwanga yenu mnaona mmepata kiwanja cha kujirusha, ππππ mnasafari ndefu sana, karibu upate upepo wa ziwa ukiyoyoma kwenye beaches zenye hadhi ya nyota 5.
Kama sina lolote lete lolote ulilonalo nilione, unaleta tuvitu ambavyo wakazi wa kijiji cha nyampande ndio wanapaswa kujivuniaHu
Huna lolote
Kwan inapita angani think between the line mzeeKati ya watanzania wajinga na nyie mpo, mnafurahia reli ya kuinufaisha Zambia kwanini nyie msinufaike nayo kwanza?
Nyasa kuna beach au kuna shimo lilikusanya maji na kenge, acha ujinga wa kutia aibu jina la beach, au ulimaanisha kuna bitches.Beach zimejaa Nyasa tofauti na beach zenu mlizogeuza choo
Kiwanja Cha kwenu Katoro Kiko wapi? ππWalugaluga mkiwa na mabwanga yenu mnaona mmepata kiwanja cha kujirusha, ππππ mnasafari ndefu sana, karibu upate upepo wa ziwa ukiyoyoma kwenye beaches zenye hadhi ya nyota 5.
Wachunga ngombe mnazijua hata maana ya beach basiNyasa kuna beach au kuna shimo lilikusanya maji na kenge, acha ujinga wa kutia aibu jina la beach, au ulimaanisha kuna bitches.
Akili zenu kila kitu mnawaza mizigo nje na mizigo ya ndani je, hiyo tazara ni moja kati ya white elephant project.Kwan inapita angani think between the line mzee
Katoro unaweza kuilinganisha na makambako?Kiwanja Cha kwenu Katoro Kiko wapi? ππ
Leta picha ya bitch ya huko nyasa, acha maneno.Wachunga ngombe mnazijua hata maana ya beach basi
Nilipita hapo makambako juzi...kimsingi ni center tu hauna hata hadhi ya kuwa mji...ujenzi wa hivyo kama mbeya tu...japo kibiashara panaonekana pamechangamkaMakambako CBD project zinaendelea
View attachment 2801248
Wap Kuna mjiNilipita hapo makambako juzi...kimsingi ni center tu hauna hata hadhi ya kuwa mji...ujenzi wa hivyo kama mbeya tu...japo kibiashara panaonekana pamechangamka
Acha kutulinganishia kata na town council HiYo ni sawa na nyororo ilembula na mtwango hkoKatoro unaweza kuilinganisha na makambako?
Kati ya katoro na tunduma wapi kumechangamka?Wap Kuna mji
Acha kutulinganishia kata na town council HiYo ni sawa na nyororo ilembula na mtwango hko
Akili zenu kila kitu mnawaza mizigo nje na mizigo ya ndani je, hiyo tazara ni moja kati ya white elephant project.
TundumaKati ya katoro na tunduma wapi kumechangamka?
Ina fursa gani kuizidi katoro?Tunduma
Ile ni border yenye gar za kutosha nchi za SADC ndo lango kuu ko nikisema hivo kama unajua biashara utajua ni jinsi gan patakuwa na mzunguko wa pesaIna fursa gani kuizidi katoro?