ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,301
- 88,330
- Thread starter
-
- #17,501
Toa ujinga hapa wewe, Sumbawanga ni Kati ya Miji 12 mikubwa hapa Tanzania na ndio maana Tactic Iko awamu ya kwanza.Mk
Sumbawanga size yake ni muleba mkuu...
Bukoba achana nayo....
Ile shopping mall yetu Iko hatua nzr sana
Hawana namna wameishavunja nyumba wenyew na walipewa siku kumi tu...Watu wako ndani ya Hifadhi ya Barabara ya 22.5m Kila upande harafu badala ya kuomba kwamba wahurumiwe Kwa kuwa wamekaa hapo miaka na miaka wanaleta ukaidi.
Jiwe angewajibu kashfa na angebomoa Kwa fujo.
Ndo nini sasa unapost..nyumba za nhc?Toa ujinga hapa wewe, Sumbawanga ni Kati ya Miji 12 mikubwa hapa Tanzania na ndio maana Tactic Iko awamu ya kwanza.
Wakati wanachagua walikuwa wanatumia vigezo ikiwemo population,hicho Kijiji chako Cha Muleba kalinganishe na Misungwi.View attachment 2785334
Ulitaka ni post nyumba za nani? Kwa nini hao NHC hawakujenga Bukoba au Muleba?Ndo nini sasa unapost..nyumba za nhc?
Picha za ajabu ajabu Huwa unazitoa wapi?Njombe tc
View attachment 2787503