Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba wameanza ujenzi wa Dual carriageway..barabara ya njia nne...kutoka Rwamishenye kupita city centre hadi Bandari ya Bukoba urefu wa km km 4.6...

Ni kama nimeanza kumpenda mama sasa maana ameikumbuka Bukoba kuliko hata magu na siasa zake zake za kubagua mikoa ya upinzani...
Bukoba kuna ujenzi wa bandari upya, stendi kuu ya daladala, uwekaji wa taa za kuongoza ndege airport, chuo kikuu UDSM na Nelson Mandela, nk nk
Bukoba inarudi ktk status yake sasa

View: https://youtu.be/5wy3ve2dGUk?si=LcCOtxZRL1bSwxgF
 
Umchukie au umpende haiondoi ukweli kwamba Samia amefunika legacy 🤣🤣

Walau ka Bukoba kataikatibia Sumbawanga 😁😁
 
Umchukie au umpende haiondoi ukweli kwamba Samia amefunika legacy 🤣🤣

Walau ka Bukoba kataikatibia Sumbawanga 😁😁
Hiv barabara ya njia nne ya billion 21 ndo inakuwaje mkuu...Km 4.6 tu....
I hope itakuwa barabara nzr sana...

Hata kale ka stendi walishahamisha sasa
 
Mk
Umchukie au umpende haiondoi ukweli kwamba Samia amefunika legacy 🤣🤣

Walau ka Bukoba kataikatibia Sumbawanga 😁😁
Sumbawanga size yake ni muleba mkuu...
Bukoba achana nayo....
Ile shopping mall yetu Iko hatua nzr sana
 
Hakika mnaneema likini upepo wa hawamu kwa Mwanza tunaisoma soma, jiji la Mwanzs halina dual carriage hata ya 1km
 
Hakika mnaneema likini upepo wa hawamu kwa Mwanza tunaisoma soma, jiji la Mwanzs halina dual carriage hata ya 1km
Nyumba kibao tu zimevunjwa hapo Bukoba na nyingine nyingi zitavunjwa ili barabara iwe njia nne...lakin kama kawaida ya wapinga maendeleo huwa hawakosi...wameanza kumfitinisha mbunge eti ndo amesababisha nyumba zivunjwe...jana kidogo alie wakati anakabidhi stendi...
Kuna hitajika mbunge mkakamavu na mwenye focus kuomba miradi kama hii mwanza na miji mikubwa...wabunge wengi wanaogopa lawama
Hakika mnaneema likini upepo wa hawamu kwa Mwanza tunaisoma soma, jiji la Mwanzs halina dual carriage hata ya 1km
 
Waombe Kwa maandishi Kwa mama atawafikilia maana Kama anawachangia RC mil.100 hawezi shindwa kuwafikiria hao wapiga kura wake Kwa sababu Kuna uchaguzi.

Lakini kuwe na sababu za msingi.
 
Watu wako ndani ya Hifadhi ya Barabara ya 22.5m Kila upande harafu badala ya kuomba kwamba wahurumiwe Kwa kuwa wamekaa hapo miaka na miaka wanaleta ukaidi.

Jiwe angewajibu kashfa na angebomoa Kwa fujo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…