ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,247
- Thread starter
-
- #17,161
Kwani lazima kuipita Mwanza? Mda ukifika mtapitwa tuu.Huoni aibu ..inawachukua miaka 3 kupata 2trilion..mwaka 2020 mlikuwa na trilion 8 Hadi Leo 2022 mna trilion 9....
Mwanza Kila mwaka inaongeza trillion 1.2 mnaipata lini
Naona Bukoba iko ligi na majiji....Mbeya ni hovyo kabisa
Haimo kwenye mikoa yenye abiria wengi wa ndege ....nbswameiweka kwenye mikoa mingine
Mikoa yenye abiria wengi wa ndege mwaka 2022
1 dar es salaam
2 Zanzibar
3 mwanza
4 Kilimanjaro
5 Arusha
6 dodoma View attachment 2708594
Uchumi upi mnaoongoza ....tukiitoa chunya mtabaki na maharageUliwahi kuona wapi maskini anaongoza kwenye uchumi?
Hamna per capita.bila nominal GDPKwani lazima kuipita Mwanza? Mda ukifika mtapitwa tuu.
Mwisho nyie ni wavivu ngoja kesho ntakavyowaaibisha kwenye par Capita
Ntakunyoosha kesho lazima.ushike mkia 😁😁Hamna per capita.bila nominal GDP.. TAFUTA kujifariji
Utawanyoosha wenye economics ignorance ..Ntakunyoosha kesho lazima.ushike mkia
Ligi ya Bukoba ni umaskini 😂😂Naona Bukoba iko ligi na majiji....
Mkoa maskini zaidi wa kipato lakin naona ina watu wengi wenye uwezo wa kupanda ndege ....
Na bukoba hakuna utalii na nauli ndo kubwa zaidi kwa safari zote nchi hii
Naona Bukoba iko ligi na majiji....Mbeya ni hovyo kabisa
Haimo kwenye mikoa yenye abiria wengi wa ndege ....nbswameiweka kwenye mikoa mingine
Mikoa yenye abiria wengi wa ndege mwaka 2022
1 dar es salaam
2 Zanzibar
3 mwanza
4 Kilimanjaro
5 Arusha
6 dodoma View attachment 2708594
Naona Bukoba iko ligi na majiji....Ligi ya Bukoba ni umaskini
Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini
Sasa manka, matusi ya nini?www.jamiiforums.com
Sasa hio ni Bukoba au kagera?Ligi ya Bukoba ni umaskini
Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini
Sasa manka, matusi ya nini?www.jamiiforums.com
Trilioni 5 ya kitu gani? Unaijua Trilioni 5 au unapayuka tuu? Toka uhuru Mbeya ni 3 Kwa hiyo Chunya ndio ilikuwa inafanya nini?Uchumi upi mnaoongoza ....tukiitoa chunya mtabaki na maharage...kati ya trillion 9 ..chunya wana trillion 5 ,,
Kwani wote wanaishia Bukoba?Naona Bukoba iko ligi na majiji....
Mkoa maskini zaidi wa kipato lakin naona ina watu wengi wenye uwezo wa kupanda ndege ....
Na bukoba hakuna utalii na nauli ndo kubwa zaidi kwa safari zote nchi hii
Bukoba mji wenye watu 150000 lakin una abiria wote hao wa ndege
Hapana Bukoba Iko Manyara sio Kagera 😆😆Sasa hio ni Bukoba au kagera?
Si wanaenda kwenye mkoa maskini wa kipato....Kwani wote wanaishia Bukoba?
Wanaishi Mikoa ya watu baada ya kukimbia kwao.Si wanaenda kwenye mkoa maskini wa kipato....
Lakin wakazi wake wana uwezo wa kupanda ndege tena pamoja na nauli yake kuwa juu zaidi ya safari zote za ndege nchi hii...
How
Hebu acha hizo...njombe? Pambaneni wawe manispaa kwanza....Wanaishi Mikoa ya watu baada ya kukimbia kwao.
Ni kama Njombe siku ikiwa na airport itakuwa kama Bukoba ndio maana Njombe Ina kampuni karibu 10 za Mabasi ya Dar -Njombe licha ya idadi ndogo ya watu.
Watu wake wako Mikoani Wana hela
Maskini akimbie aende wapi? Ana nauli?Hebu acha hizo...njombe? Pambaneni wawe manispaa kwanza....
Kagera ingekuwa inakimbiwa isingekuwa na watu 2.9m na kuwa mkoa wa sita nchini kwa idadi ya watu