Tumetoka kwenye G7 Tumeaanza mega . [emoji91][emoji91][emoji91]...vipi hii kampuni ganiMwanza na MEGA namba MUPYAView attachment 2706657
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Masalu High ClassTumetoka kwenye G7 Tumeaanza mega . [emoji91][emoji91][emoji91]...vipi hii kampuni gani
Tumetoka kwenye G7 Tumeaanza mega . [emoji91][emoji91][emoji91]...vipi hii kampuni gani
Mwanza na MEGA namba MUPYAView attachment 2706657
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Msigwa watu wa Mbeya atawaletea lini G7.... EBJ series below.View attachment 2706654
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Mtaishia kuona Twitter tuu,Nyanda za Juu Kusini ni 🔥🔥🔥MCV? [emoji3][emoji3][emoji3] maake hapo kwanza nicheke
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Pata XML kwanza.... Mbeya Nzima hakuna XML [emoji3]
Mwanza university is now Open..maji mtayaita MMA ...[emoji116][emoji116]
Wapi Majengo ya Mwanza University 😆😆Mwanza university is now Open..maji mtayaita MMA ...[emoji116][emoji116]
Mpaka Sasa vyuo vikuu
SAUT
CUHAS
MWANZA UNIVERSITY
Campuses
TIA ,CBE, MIPANGO,IFM,ADEM ,NTC ,na zote wanajenga majengo ya kisasa ..
Ardhi university washaanza ujenzi View attachment 2707265View attachment 2707266View attachment 2707267
Mbeya ni hovyo kabisa [emoji116]Jamani msichukie napita tuu [emoji91][emoji91]
Kwani lazima tusafiri na ndege? Tulia dozi ikuingie tuko kwenye GDP ,mwaka huu 2023 Kwa mara ya kwanza tutasoma miamala ya GDP ya zaidi ya 10 Trilioni porojo za ndege tupa hukoMbeya ni hovyo kabisa [emoji116]
Haimo kwenye mikoa yenye abiria wengi wa ndege ....nbs [emoji28] wameiweka kwenye mikoa mingine [emoji28][emoji28][emoji28]
Mikoa yenye abiria wengi wa ndege mwaka 2022
1 dar es salaam
2 Zanzibar
3 mwanza
4 Kilimanjaro
5 Arusha
6 dodoma View attachment 2708594
Huoni aibu ..inawachukua miaka 3 kupata 2trilion [emoji28][emoji28][emoji28]..mwaka 2020 mlikuwa na trilion 8 Hadi Leo 2022 mna trilion 9....Kwani lazima tusafiri na ndege? Tulia dozi ikuingie tuko kwenye GDP ,mwaka huu 2023 Kwa mara ya kwanza tutasoma miamala ya GDP ya zaidi ya 10 Trilioni porojo za ndege tupa huko
Ndipo mjue nyie ni maskiniKwani lazima tusafiri na ndege? Tulia dozi ikuingie tuko kwenye GDP ,mwaka huu 2023 Kwa mara ya kwanza tutasoma miamala ya GDP ya zaidi ya 10 Trilioni porojo za ndege tupa huko
Uliwahi kuona wapi maskini anaongoza kwenye uchumi?Ndipo mjue nyie ni maskini