You're such a dumb ...Kwa hyo wew Kwa akili zako unajua mall ni super market tu ......nenda kujifunze maana ya mall ndo uje tujadili hapaJinga kweli mall ni duka tuu ambalo unaweza pata mahitaji mengi hasa ya ndani eneo Moja.
Huo ulazima sijaiona maana ni utamaduni pia.
Mwisho huna Cha kunifundisha kwenye mall maana Mimi nimefanya kazi pale Uchumi Super Market Mtava na Segerea kipindi zipo.
Hakuna jipya ,wewe kwako unajua mall ni nini? Super Market unaweza pata dispensary au Bar nk?You're such a dumb ...Kwa hyo wew Kwa akili zako unajua mall ni super market tu ......nenda kujifunze maana ya mall ndo uje tujadili hapa
Ni lazima...hizo fremu mnazojenga kwa Kasi huko mbeya sijui kusini...inabidi watu wanunue office ndani ya mall moja...hii inarahisisha kupata huduma na kuongeza ufanisi wa biasharaKwani Kuna ulazima wa kuwa na hivyo vi Mall vyenu? Naona mnashoboka sana what is so special?
Kuna tofauti kati ya mall na supermarketsJinga kweli mall ni duka tuu ambalo unaweza pata mahitaji mengi hasa ya ndani eneo Moja.
Huo ulazima sijaiona maana ni utamaduni pia.
Mwisho huna Cha kunifundisha kwenye mall maana Mimi nimefanya kazi pale Uchumi Super Market Mtava na Segerea kipindi zipo.
Palm village? Dar city Mall unanionaje,Kibo complex je? Au hujazunguka unataja taja tuMkuu hebu tuzione hizo mall zilizoko makambako?
Unashangaa Bukoba? Vip kuhusu mbeya mnaloita jiji na halina hata shopping plaza hata moja?
Tanzania tunazidiwa hadi na uganda kwa malls...mji kama enttebe una mall kama saba hiv tena kubwa...na naiona Bukoba inaelekea huko huko....hata hapa dar ukiachana na mlimani na kidogo palm village kwingine ni under utilised...
View attachment 2696963
Project gani imekufa Arusha hamna project iliyokufa bro[emoji23][emoji1787]Project ishajifia hyo .. .
Mwanza under execution mall [emoji116][emoji116]View attachment 2697466View attachment 2697468
Mkuu tembea miji ya watu mzee nenda Nairobi two rivers, Westgate etc..nenda Kampala nenda hata Zambia utakuja kunisapport kuwa Malls za Tanzania ziko underutilized na haziko busy....Palm village? Dar city Mall unanionaje,Kibo complex je? Au hujazunguka unataja taja tu
Haziko buzy kwavile Bado watu hawana ufahamu,na pia wabongo Bado atujazoea kupanga kwenye malls na supermarket tunangalia pontetial location frame za barabaraniMkuu tembea miji ya watu mzee nenda Nairobi two rivers, Westgate etc..nenda Kampala nenda hata Zambia utakuja kunisapport kuwa Malls za Tanzania ziko underutilized na haziko busy....
Hii ni mall au vituko Tu...
Entebbe Uganda huku Tz ingekuwa municipality lakin check malls ilizo nazo na ziko full utilisedView attachment 2697412View attachment 2697413View attachment 2697414
Uzuri kasema mbeya...sio Tz...
Watu wajanja wa kampala wakafate nini huko madongo kuinama, yaani wajanja wa kampala waende kigoma na huko kusini kuna vitu gani waache route ya Mwanza mpka Dar kwa wajanja wenzao na kufuata fursa labda kama wanaenda kufuata waganga wa kienyeji.Cc@Mikdde Kitombile and other haters
Kipande Cha Barabara Cha Kigoma-Uvinza-Kasulu Hadi Mutukula kikimalizika yatapita Mabasi mengi sana ya kutokea Kampala,Kigali,Goma, Bujumbura nk kueleke Lusaka na South Africa.