Kahama VS Njombe/Mafinga

Imagine hapa ni kampuni mbili tu zinaweka headline huko latra [emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mwanza ni sweet
[emoji116]
Ni ujinga na upuuzi unawasbua.Ndio madhara ya ushamba na kuchelewa kuwa na vitu classic
 
Siku zote watu tuliwambia zone ya nyanda za juu kusin tulicheleweshwa ni zone yenye biashara kubwa Sasa tumepata raisi mwenye maono maana mizigo mingi ya bandari inapitwa hii Barabara hadi Sasa kunaongezeko kubwa la magari naona tanroad wameliona Hilo Sasa express way ni nyanda za juu kusini na kibaha hadi dodoma zone nyingine msubiri kidogo mfikie level za Hawa jamaa na kinachokwenda kutokea hii miji inakwenda kuungana ukitoka makambako hadi tunduma nyumba zinakwenda kuongezeka Sana Kama itakavo kuwa dsm hadi dodoma ni maeneo ambayo uwekezaji unaenda kukua zaidi na kuwa kibiashara zaidi Yani mama kacheza na maoni ya watu ya Muda mrefu sana
 
Huku hizo zilipendwa mzee asee mmechelewa Sana Tena sana
Imagine hapa ni kampuni mbili tu zinaweka headline huko latra [emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mwanza ni sweet
[emoji116]
 
Unapenda kuota ...amka Toka usingizinj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…