ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,346
- 88,415
- Thread starter
-
- #16,321
Hakuna shule yenye usafiri bora Tanzania kama hii kaizirege and kemebos Bukoba View attachment 2629236View attachment 2629237
Mavumbi Kila sehemu 🤣🤣Lami za vijijini Bukoba....hapo ni kashozi 15km out of Bukoba View attachment 2629234View attachment 2629235
Psspf kagera...View attachment 2629232
Sio Mali ya Halmashauri wewe nyumbu,ni Mali ya Wizara ya Mali Asili na UtaliiHalmashauri ilishindwa nini kuboresha hayo mavimondo adi msaidiwe na ngorongoro nyie endeleeni kulala na kulalia fursa.
Kwani hao maliasili hawakuona, kila kitu mnatupia mizigo serikali, hata vyoo vyenu vikijaa mtasema serikali haijazibua vyoo.Sio Mali ya Halmashauri wewe nyumbu,ni Mali ya Wizara ya Mali Asili na Utalii
Kwani hao maliasili hawakuona, kila kitu mnatupia mizigo serikali, hata vyoo vyenu vikijaa mtasema serikali haijazibua vyoo.
Angalia hapa watu wanaochangishana pesa kujenga barabara ni huku, Mwanza👇👇
View attachment 2629958
Hivi ile white elephant reli ya Tazara huwa inasafirisha vitu gani mbona naona kama kizunguzungu.
Unaelewa maana ya Tazara kwanza?Hivi ile white elephant reli ya Tazara huwa inasafirisha vitu gani mbona naona kama kizunguzungu.
Hukusema ina kazi ya kusafirisha watalii au sio wewe kutoka botswana mpka dar.Unaelewa maana ya Tazara kwanza?View attachment 2630287View attachment 2630288View attachment 2630289
Hiyo picha ya juu nawaona watalii wakizungu kutoka africa kusini wakiangalia mashamba ya mpunga na viazi.Unaelewa maana ya Tazara kwanza?View attachment 2630287View attachment 2630288View attachment 2630289
Hiyo picha ya juu nawaona watalii wakizungu kutoka africa kusini wakiangalia mashamba ya mpunga na viazi.
HuelewekiHukusema ina kazi ya kusafirisha watalii au sio wewe kutoka botswana mpka dar.
Usipoelewa leo utaelewa siku ukizeeka.Hueleweki
Ukisikia Bukoba airport ni moja ya busiest local airports nchini...hao watu wanaishi huku...Hueleweki