Wew ndio mpumbavu ...ambaye unatuletea stori zako ...kwanza elewa kuwa dart maana yake ni dar es salaam rapid transport.......
Kama ni kwenda mikoa mingine inabidi Sheria iliyoanzisha dart ibadilishw na jina libadilishwe pia au Kila jiji lianzishe shirika lake ...... lakin sio unambie DART inasubiri porojo zako