ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
- Thread starter
-
- #16,241
Ya mwanza huwa huyaoni, hakuna kitu kitawekwa mbeya na Mwanza kisiwepo.Upanuzi mkubwa wa Chuo Kikuu Cha MUST
Mabweni 2 yenye ghorofa 7 Kila Moja.
Academic block
Karakana nk View attachment 2624569
Mbeya Ina vyuo Vikuu vingi kushinda Mwanza..Ya mwanza huwa huyaoni, hakuna kitu kitawekwa mbeya na Mwanza kisiwepo.
Mbeya Ina vyuo Vikuu vingi kushinda Mwanza..
Juzi tuu hapo nimekuonesha ujenzi wa gorofa 7 Mzumbe unajifanya huoni,Mwanza Kuna Mzumbe?
Magorofa ya Mbeya yalishaanza kujengwa Toka mwaka Jana na yanamaliziwa tuu
Mwisho Kuna mradi wa HEET unajenga majengo mengine zaidi hapo MUST ,Mwanza hakuna
DIT kampasi ya mwanza wanajenga majengo matano ya ghorofa nane, mzumbe wana kampasi hapa Mwanza downtown lakini pia wana eneo kubwa huko sangabuye, Mbeya ina vyuo vingi vya serikali kuliko Mwanza nakubali, lakini Mwanza pia ina vyuo vingi sana vya binafsi kuliko Mbeya....
Mwanza kwasasa wanajenga, DIT, ARDHI, TIA, MIPANGO N.K, zamani walikuwa kwenye vijengo vya kupanga.
Hawa IFM wanahangaika SanaIFM, now wanatoka rock city mall wanaenda kupanga bwiru pale chuo Cha mipango kilipokuwa kimepanga,,wanafanya hivo huku wakisubili ujenzi wa chuo Chao kukamilka
Haya mambo ya makaratasi huwa siyaamini kabisa, napenda kuonga magreda yakichonga hayo ma BRT, hizo ngonjera zao wawapelekee wana mbeya, arusha na Tanga, sisi Mwanza tunapenda vitendo sio watu wakusikiliza siasa.
Sisi tunapewa makaratasi upande wa Dar wanapeleka wakandarasi na magreda kujenga
Kabla ya greda yanaanza makaratasi,hii sio mara ya kwanza watu wa dart wanaongea hivyo,wanasubiria mabadiliko ya Sheria.Haya mambo ya makaratasi huwa siyaamini kabisa, napenda kuonga magreda yakichonga hayo ma BRT, hizo ngonjera zao wawapelekee wana mbeya, arusha na Tanga, sisi Mwanza tunapenda vitendo sio watu wakusikiliza siasa.
Sheria Kwa Sasa inataka dart Kwa Dar tuu.Sisi tunapewa makaratasi upande wa Dar wanapeleka wakandarasi na magreda kujenga