Kahama VS Njombe/Mafinga

No is Bukoba fishing Village View attachment 2621957
Yes Bukoba was a fishing village back then...when HAYA was the kingdom...


Hata jina Bukoba ni jina la ukoo wa wavuvi waliokuwa kando kando ya ziwa Victoria enzi hizo ilipo bandar ya sasa ya Bukoba ...walikuwa wanaitwa wabakoba...



One of the first hotels to be constructed at Bukoba...imagine 1901

 
Still is a flourished fishing Village up to kesho..
Mbeya
 
Usisahsu kumwambia toad ya bwanga to biharamulo ilivo konki huwa natafta picha yake kamili ila Sina but napenda ilivopita mlimani na milima ikachongwa Kwa ustadi mkubwa
Hivyo sio vitu vya kutangaza...mambo madogo sana hayo....


Hebu google mujungi Road...inayounganisha vijiji vya kamachumu, nshamba, kishanda na muleba huko ni zaidi ya km 52 za lami...na ilikamilika 2020 huko.....
 
Kwenye hiyo chati nimegindua kuwa Kodi haipaswi kukusanywa kwa Mtutu wa bunduki wa taskforce.Ukitumia nguvu tegemea kukusaya kidogo
Kod ni muhimu sema tunaonaga kama tunaonewa ila nchi yoyote inategemea Kodi,,Kuna nchi at ukimilki tv unalipia kodi vipi ikija hapa bongo sjui kelele zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…