ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,355
- 88,446
- Thread starter
-
- #16,041
Inapitia Mwanza Wala haipiti Mbeya na Huwa inakataa Abiria wa Mbeya Dar πππππWew ni mpuuzi....hyo ni ya mbeya naona umeishiwa baada ya sauli kupata hasara huko [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni muda gani umepita toka Mkombe watangaze hio routeUjinga huu Sasa,unaijua Mkombi Luxury? View attachment 2616440View attachment 2616441
Dar-Johz via Mbeya
Sasa Hilo nalo ni la kujisifu?
Wew ni mpuuzi....hyo ni ya mbeya naona umeishiwa baada ya sauli kupata hasara huko [emoji28][emoji28][emoji28]
Tuna mengi sana ya kujisifu likiwemo hili hapa πSasa Hilo nalo ni la kujisifu?
Na hakika hata wewe unajua kwamba huu ni uongo, yaani utakuwa taahira kama unaweza furahia Barabara imejaa viraka na mashimo kuanzia mlandizi,Dom Hadi Mwanza ukaacha lami tamu kama ya Ulaya ya kuja Highlands[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2617801
Angalia poll achana na Mimi[emoji867]Na hakika hata wewe unajua kwamba huu ni uongo, yaani utakuwa taahira kama unaweza furahia Barabara imejaa viraka na mashimo kuanzia mlandizi,Dom Hadi Mwanza ukaacha lami tamu kama ya Ulaya ya kuja Highlands
Poll au ushamba wa watu wa Lake zone?Angalia poll achana na Mimi[emoji867]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] makasirikoPoll au ushamba wa watu wa Lake zone?
Soma hapa kwenye mradi wa 1.5T Kuna Miji yaBilioni 441 simiyu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]..
wapi songwe [emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2617847