ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,311
- 88,341
- Thread starter
-
- #15,981
Hakuna Wilaya hata Moja kutoka Mikoa Maskini ya Lake Zone inaweza fikia Tunduru Kwa pesa..
Hapa hakuna GDP ya mzungu Bali ni pesa directly Kwa watu
Jiji vs Wilaya 😁😁
Jiji vs Wilaya [emoji16][emoji16]
Mambo ni 🔥🔥🔥
Kila siku unarudia kupost vitu vile vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...naona mmejengewa administration block...[emoji116]
Wanaorudia rudia ni Wizara ya Ujenzi,Kwa hiyo peleka malalamiko Yako huko 😜😜Kila siku unarudia kupost vitu vile vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...naona mmejengewa administration block...[emoji116]
Huwezi kukuta uchafu kama huu kwenye majiji makubwa ya kisasaView attachment 2614273View attachment 2614274
Hv nyie CBD yenu ...Lini itafikia hapà[emoji116]green cityView attachment 2614391