Tunajua Kila mji zinafungwa ,,,, isipokuwa songea [emoji1787][emoji116]Taa Kwa Sasa sio issue sana mjini Kila sehemu ziko zinafungwa..
Asas diary View attachment 2604412View attachment 2604413View attachment 2604414View attachment 2604415View attachment 2604416
Naona wamelikumbuka shamba la mboga mboga [emoji1787][emoji1787]lenye parking ya ndege
Umeanza kuweweseka hata kabla ya Ujenzi Kukamilika 😁😁Naona wamelikumbuka shamba la mboga mboga [emoji1787][emoji1787]lenye parking ya ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko tushatoka kitambo sisi ..Umeanza kuweweseka hata kabla ya Ujenzi Kukamilika [emoji16][emoji16]
Mbeya uwanja umekamilika
Songea uwanja umekamilika
Iringa ujenzi Unaendelea
Sumbawanga ujenzi umeanza
Njombe uko kwenye feasibility study
Songwe feasibility study
Magu penyewe sahv Kuna mataa ya barabaranTunajua Kila mji zinafungwa ,,,, isipokuwa songea [emoji1787][emoji116]
Bukoba Town [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2604418View attachment 2604419View attachment 2604420
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua Kila mji zinafungwa ,,,, isipokuwa songea [emoji1787][emoji116]
Bukoba Town [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2604418View attachment 2604419View attachment 2604420
Sent using Jamii Forums mobile ap
Geita inazidi kupendeza...[emoji116][emoji116][emoji116]...watasema na wao wanazo .ila wakiombwa picha wanabaki kushangaa..
[emoji116][emoji116][emoji116]...wapi songea View attachment 2604405View attachment 2604406View attachment 2604407
Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu hayo mataa mliyofungiwa ni mabovu yaani hayana mwanga na sensa yake inasingia Hadi Giza Nene ndio yanawaka na yanawahi kuzima..
Taarifa nyingine wahusika wawe wanaona aibu Sasa! Yaani mwezi huu wa 5 tumeingia mradi upo 23 %
Acha ujinga wewe ,Daraja la Kiegea liko Mwanza ya wapi? Hapo ni mpakani mwa Dom na Morogoro
Kiyegeya daraja bovu (Morogoro-Dodoma road)