Ihanda na Mahenje ni kata za Kijijini kabisa so hapo Mbozi sio sawa.Kwa mjibu wa sensa miji ya nyanda za juu kusini kwa kuangalia kata zilizopo mjini tu maana ndo zinatoa taswira ya mji miji yenye watu wengi ni 1 songea260000, 2sumbawanga 250000,3 tunduma219000 ,4 IRINGA202500 ,Tano ni makambako 135000,sitaVwawa+mlowo+ihanda+mahenje, 134000,Saba ni mbinga 130000,nane ni RUJEWA+ubaruku+Igawa 105000 Tisa ni mafinga 95000 kumi ni mbalizi 91500,na kumi na moja ni njombe tc Ina 91300 hapo baada ya kufanya uchambuzi wa kata zilizopo mjini tu ko miji mingi mikongwe tayar inaachwa na miji iliyo ibuka na hata ukienda eneo husika kwa nyanda za juu kusini huo ndo uhalisia kwa kupanga ni kama ifuatavyo 1 songea 2sumbawanga 3Tunduma 4iringa 5Makambako 6 vwawa 7 mbinga 8Rujewa 9mafinga 10 mbalizi 11 njombe
Unfortunately unajifariji na bila shaka Kuna kichapo unakiogopa mahala hapa sio bure ππ
Hilo sahauUnfortunately unajifariji na bila shaka Kuna kichapo unakiogopa mahala hapa sio bure [emoji16][emoji16]
Kwa taarifa Yako tayari Kuna mapendekezo ya kuanzisha Manispaa ya Uyole,Mbalizi na Jiji la Mbeya Ili viwe included in Greater Mbeya City boundaries bila kujalisha ni Manispaa zinazojitegemea..
Na Kwa taarifa Yako nyingine Mbalizi.kwa Sasa ndio Suburb ya Mbeya ambayo Iko Kasi kwenye maendeleo,Kuna magorofa kama 6 Yako under construction yaani Uyole imeshapitwa..
Ila tuu shida ya Mbeya inasalia pale pale mipango Miji,nilitegemea Mbalizi iwe inapanga vizuri hasa kuanzia Ifisi kuja Songwe Viwandani opposite na Airport bila kusahau Mkwajuni road lakini hakuna anaestuka makazi holela yanaendelea kukua,mbaya sana hii.
Kaka imeungana hii ikitoka Igawa hadi ubaruku ni makazi tu ok basi ukijumlisha mlowo na vwawa Wana 93000Ihanda na Mahenje ni kata za Kijijini kabisa so hapo Mbozi sio sawa.
Pili inakuaje bwashee unaunganisha Igawa,Rujewa na Ubaruku wakati ni Miji tofauti tofauti?
Wewe hapo hakuna ulichoandika, Songea na Sumbawanga huwezi kulinganisha na Iringa eti kwa kigezo cha watu. Iringa ni mji mzuri na unakua ila hizo Songea na Sumbawanga ni mapori yaliyotanuka yamejaa vijiji eneo la mji ni kidogo tu. Linganisha population density ya hiyo miji.Kwa mjibu wa sensa miji ya nyanda za juu kusini kwa kuangalia kata zilizopo mjini tu maana ndo zinatoa taswira ya mji miji yenye watu wengi ni 1 songea260000, 2sumbawanga 250000,3 tunduma219000 ,4 IRINGA202500 ,Tano ni makambako 135000,sitaVwawa+mlowo+ihanda+mahenje, 134000,Saba ni mbinga 130000,nane ni RUJEWA+ubaruku+Igawa 105000 Tisa ni mafinga 95000 kumi ni mbalizi 91500,na kumi na moja ni njombe tc Ina 91300 hapo baada ya kufanya uchambuzi wa kata zilizopo mjini tu ko miji mingi mikongwe tayar inaachwa na miji iliyo ibuka na hata ukienda eneo husika kwa nyanda za juu kusini huo ndo uhalisia kwa kupanga ni kama ifuatavyo 1 songea 2sumbawanga 3Tunduma 4iringa 5Makambako 6 vwawa 7 mbinga 8Rujewa 9mafinga 10 mbalizi 11 njombe
Bado songea ipo juu kwa iringa Kwa population iringa eneo lake dogo ila kwa miundombinu ipo poa mbona hata ukiangalia kwa movement hata ya watu iringa inapitwa na tunduma ,makambako ,mbalizi Zina movement eneo kubwa hata hivyo eneo la mkoa wa iringa ni kubwa ila kulingana na jiografia makazi yopa mbalimbali Sana population density wameto ya mikoa tu miji bado we fikiria iringa dc Ina ukubwa wa km za mraba 19000 ni sawa na mikoa mingi na mingine imepita ila Ina population 314000 movement ya watu haiwezi kulingana na tunduma ambayo ipo close na tarafa ya vwawa na makambako ambayo ipo close na tarafa ya wangingombe ambazo hizo zote uki plus population unaiona Ina got kwenye laki nne plus lazima centre za mji ziwe busyWewe hapo hakuna ulichoandika, Songea na Sumbawanga huwezi kulinganisha na Iringa eti kwa kigezo cha watu. Iringa ni mji mzuri na unakua ila hizo Songea na Sumbawanga ni mapori yaliyotanuka yamejaa vijiji eneo la mji ni kidogo tu. Linganisha population density ya hiyo miji.
Umechelewa kuota ndoto
Ebu acha assumption zako ..zisizo na maana zozote ..... hivyo vicenter vya kupaki malori ndo unaviita miji ...Rudi darasani ukasome uraia ...hapa unajitiisha aibu tuKaka imeungana hii ikitoka Igawa hadi ubaruku ni makazi tu ok basi ukijumlisha mlowo na vwawa Wana 93000
Unakera na ma screenshot Yako kwani huwezi weka link?[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2601154
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado sijakukera[emoji116][emoji1787]Unakera na ma screenshot Yako kwani huwezi weka link?
Acha kulinganisha Mabasi Makali na hayo mapipa ya kutunzia gongo.Simiyu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]...wapi songweView attachment 2601155
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mwenzio mk boy anayepaste page nzima ya website humuUnakera na ma screenshot Yako kwani huwezi weka link?
Hiki kibati ndio Bus Kali la huko kwenu Runzewe au? ππππNa bado sijakukera[emoji116][emoji1787]
Dar to Mwanza View attachment 2601168
Sent using Jamii Forums mobile app