Kahama VS Njombe/Mafinga

Wivu 🤪😝🤪😜 hiyo ni sehemu ndogo sana ya Jiji la Mbeya..
Hii mbeya iliyojengwa kwa tofali za kuchoma?
Yani nyumba za mbeya mjini 80% ni tofali za kuchoma na maghorofa ni machache sanaaa na excuse yenu eti ardhi sio rafiki.

Mwanza hakuna nyumba ya tofali za kuchoma unajua tafsiri ya hii kitu?
Mwanza kuna ghorofa nyingi, Mwanza kuna barabara kali kila kona hadi milimani, Mwanza kuna terminals mbili za abiria wa ma bus za kisasa hakuna mahali Tanzania kuna stand mbili za ma bus ya upcountry zaidi ya Mwanza.

Mwanza kuna masoko ya kisasa, Mwanza kuna hela, Mwanza kuna idadi kubwa ya magari, Mwanza kuna hotel nyingi na zenye hadhi kuliko mikoa yote ya kusini combined
 
Una maneno mengi ya kujifariji Hadi huruma 😁😁

Leo nakutandika na video za Mbeya Hadi ujiharishie 🤣🤣

 
Una maneno mengi ya kujifariji Hadi huruma 😁😁

Leo nakutandika na video za Mbeya Hadi ujiharishie 🤣🤣

Leta za Mwanza mbaya tuone.

Wilaya ya Ilemela pekee inatosha kushindana na mikoa yote ya kusini
 
Hii ni kirumba mwaloni lakin ni Zaid ya mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…