Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi unajua miji ya biashara ww unavua dagaa na kunya kwenye ziwa et miji ya biashara mchunga ngombe toka Lin akaijua biashara
Angalia mikoa ya biashara tz maana sisi hatulimi shoga ew huko kwenu mashambani
 
Ndio tunavua samaki Tena uvuvi huku ni sawa na mgodi unajua nchi nzima na nje ya nchi tunawalisha na hakuna mvuvi maskini
 
Hivi unajua miji ya biashara ww unavua dagaa na kunya kwenye ziwa et miji ya biashara mchunga ngombe toka Lin akaijua biashara
Hako kashamba ni Kaluga lugha ka Runzews huko Vijijini ndio maana akili hakana
 
Ndio tunavua samaki Tena uvuvi huku ni sawa na mgodi unajua nchi nzima na nje ya nchi tunawalisha na hakuna mvuvi maskini
Hahaha na kumbuka maskini siku zote anawaza kuzaa watoto tu Hana mawazo mbadala biashara bado Sana mje mjifunze nyanda za juu kusin kaskazini ,Na mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…