Kahama VS Njombe/Mafinga

Soma Vizuri hyo bajeti nimeipost kidogo kurasa sijazipangilia but utaelewa ukiona humo Kuna jombe unitag
 
Unahangaika na huyo kigogo ni bwege TU hyo shoga la mataifa ya magharibi
Na hiyo stendi ya chato mbona inapiga kazi kuliko listendi la machakani njombe na lile la kule porini dodomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na hiyo stendi ya chato mbona inapiga kazi kuliko listendi la machakani njombe na lile la kule porini dodomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Iile la dodoma nalo limezubaa linazidiwa na stand ya usagara misungwiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utu tu mradi tunamezwa na mradi mmoja tu wa Nyanzaga gold mine.
Mgodi wa mzungu ndio unaweza kujisifia una akili timamu?

Pili hako kamgodi kama uwekezaji upi wa kuweza kushinda Iron ore ya liganga?

Sgr ya MbambaBay to Mtwara?

Mabwawa ya umeme ya Ruhudji,Lumakali nk?

Usiwe mweupe kama huyo kiasi anayepayuka hovyo hapo.
 
Mkitaka kuwajua Wahaya wasikilize hapa chini 😁😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Huoni aibu hyo post Kwa njombe ni hydroelectric power ambayo at siyo fursa kabisa kwenu ila inanufaisha mikoa mikubwa kama dar na mwanza, pia usidikir sjui kuwa kusini mpaka Leo umeme bado shida kubwa mno
Wewe hutokuja kuwa na akili Hadi unafukiwa πŸ™†πŸ™†
 
Kumbe ew ni kenge mbamba bay sio SGR soma vizr mbwa ew hapo wamesema priorities kubwa ni SGR pia railways ya mtwara mbambay jitahid kuelewa na kujua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…