Kahama VS Njombe/Mafinga

Umeishiwa Toka jana unapost uchafu huo na jengo moja unalipost kipindi linajengwa mpaka limekamilka ew inachukua picha Ili uonekane umepost mawili tofaut amuka pimbi
Njombe sio sawa na hivyo Vijiji vyenu kwamba inaweza ishiwa .

Huku tuna pesa ,sio Mkoa wa maskini 😁😁

Soma hiyooo πŸ‘‡
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli ewe pimbi
Umeishiwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Naendelea kukupa dozi kutoka Njombe Hadi ushike adabu na ukome Kuilinganisha Njombe na madanguro yenu huko Kanda ya Ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…