KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Fursa Gani ziko huko kupita Kanda ya ziwa? Ewe pimbiUsiongee kama hujabalehe au wew sio mwanaume wenzio wanashindana kwa fursa zilizpo kwenye miji wew unaleta hbr za nyumba dah yan hata kubishana na wew ni kupoteza muda
Cheki wenzako wanavolalama
mawardat
mawardat
JF-Expert Member
March 11.2023
Add bookmark
#70
Watu wa Dar na Mwanza bana,mnavyoina songea binafsi na mie ninavyoiona hii mikoa ilivyo haina maajabu
Dar. Kuchafu jiji linanuka kuna kila aina ya uchafu,
Mbeya ni kakijiji kalikochangamka kapo varangati,

