Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwenu Kuna Mji wowote wa kufikia aerial view ya Songea?

 
Songwe Airport
 
Hatar ndo Nini we kima hatuwez lingana na ninyi mjini mbalizi,nzomve, itigi pote nyumba za tope haya nambie shinyanga mjini kama Kuna nyumba ya tope ewe kima mjane
Mbalizi unaijua au unaisikia? NMbalizi ni zaidi ya ilemela
 
Bukoba hii ambayo haina hata daladala ya town trip
Hebu leta jiji lako la Mbeya ulinganishe na hapa...
Unafikiri daladala ndo mji kuendelea...nenda kisumu hapo...mji una bodaboda tu wala hauna daladala lakin maendeleo Arusha ikasome....

Mbeya yenyew Mbona kuna bajaji nyingi kuliko watu...


Bukoba municipality ....
 
Kihospital Cha hovyo kama shule..


Bukoba Sasa ndio hakuna hata hospital ya maana ya Mkoa kama wanabisha waambie waweke
Kwamba bukoba hakuna hospital ya maana? We jamaa vip...unataka wajenge ngap hapo mjini..


Katazame vita ya kagera ya mwaka 1978...Hospital ya Rufaa ya mkoa wa kagera ndo ilikuwa inatumika kutibu majeruhi...na kuna bomu lilidondoshwa pale..hadi leo kuna shimo...

Nyinyi 1978 mlikuwa hata na hospital basi huko kusin zaidi ya peramiho...
 
Leta majengo ya hospital tuone sitaki porojo na hadithi za idd Amini
 
Ndo kamji kameisha hapo? 😁😁

Mbeya ni City hailinganishwi na Vijiji..

Size yenu ni Sumbawanga πŸ‘‡
 
Leta majengo ya hospital tuone sitaki porojo na hadithi za idd Amini
Kagoogle...

Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kagera imekuwepo toka uhuru...

Tena hapo hapo Bukoba kuna hospital Nyingine tatu...

1. Hospital ya Wilaya ya Bukoba
2. Hospital ya manispaa ya Bukoba
3. Cosad Hospital
4. Ndolage hospital
5. Bugabo hospital...wahaya madaktari wamejiorganize wamejenga hospital yao hapo bukoba
 
Iko wapi? Huto tu hospital unamlingishia nani?

Makelele yote ya Wahaya mnazidiwa hata na Ruvuma Ijue Mikoa 12 yenye Idadi kubwa ya vituo vya kutolea Huduma za Afya
 
Iko wapi? Huto tu hospital unamlingishia nani?

Makelele yote ya Wahaya mnazidiwa hata na Ruvuma Ijue Mikoa 12 yenye Idadi kubwa ya vituo vya kutolea Huduma za AfyaView attachment 2547381
Akili huna....kati ya hizo 21 hospital 18 ni za binafsi...wahaya wanalaumiwaje...

Mnanishangaza kulaumu makabila kwenye suala la maendeleo ya umma...hiyo ni sign ya kujefeel inferior mbele ya kabila.
Kwan huko Ruvuma hospital zimejengwa na wangoni...

Halafu hospital zinajengwa kulingana na uhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…