ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,345
- 88,394
- Thread starter
-
- #13,441
Tunduma inazidi Kahama vitu vingi sana ikiwemo Mapato ambayo ndio issue y muhimu sana..kwani tunduma inaizidi nini kahama we nguruwe kweli yaani wilaya ulinganshe na manispaa...Yaan kitendo tu cha kuwa manispaa hilo ni jibu tosha msijilinganishe na sisi ..Sisi tulinganisheni na manispaa sio miji
Tafuta wapumbavu wenzioMbeya ambayo Haina Barabara,, mbeya ya hovyo Kila idara kenge nyie Jiji la nipen kura nitangaze mji wenu jiji
Render 🤪🤪🤪Sa mbona inazidiwa na madarasa ya shule kahama nmewambia kusini mnapewa Mirad kidogo maana hamna faida Kwa taifa at mkifa View attachment 2546562
We ni mende kweli kwanini kahama ni manispaa ...Tunduma ni mji pamoja na yote hayo ulotaja..Au ipi ipo juu kati ya manispaa na mjii..Au kipi kinasababisha kuwa manispaa nyingine mji??Tunduma inazidi Kahama vitu vingi sana ikiwemo Mapato ambayo ndio issue y muhimu sana..
Tunduma Inajenga shule za magorofa 7 kwa.mapato ya ndani.
Tunduma ina Vituo vya Afya 7
Tunduma Ina Jenga masoko 2 ya Machinga na soko la samaki Kwa mapato ya ndani zaidi ya Bil.3,achilia mbali masoko madogo Yako 4 Mali ya Halmashauri.
Tunduma Ina stand yake iliyojengwa Kwa mapato ya ndani Kahama Haina inaogelea kwenye mavumbi,
Tunduma Ina hospital kubwa yenye hadhi ya Makao Makuu ya Mkoa.
Tunduma Inajenga Ofisi za Halmashauri Kwa mapato ya ndani.
Tunduma Ina parking yard kubwa ya malori Kahma hamna.
Tunduma Ina magorofa mengi kuliko Kahama ,
Tunduma inamiliki shule za English medium Kahama hazipo,
Tunduma inazidi Kahama wingi wa magari n hivyo kuwa na Vituo vya mafuta vingi kabisa tena vyenye hadhi,Kahama hakuna..
Tunduma Ina Hotel za hadhi ya nyota 3 kama Tunduma hotel na Ujinga Hill Kahama hakuna .
Kiufupi nyie manyumbu mnafurahia jina la Manispaa isiyo na vigezo ila kwenye ground hakuna kitu.
Mwenye wivu jinyonge..Kwanini usipewe wew hyo hadhi kama unaizid KAHAMATunduma inazidi Kahama vitu vingi sana ikiwemo Mapato ambayo ndio issue y muhimu sana..
Tunduma Inajenga shule za magorofa 7 kwa.mapato ya ndani.
Tunduma ina Vituo vya Afya 7
Tunduma Ina Jenga masoko 2 ya Machinga na soko la samaki Kwa mapato ya ndani zaidi ya Bil.3,achilia mbali masoko madogo Yako 4 Mali ya Halmashauri.
Tunduma Ina stand yake iliyojengwa Kwa mapato ya ndani Kahama Haina inaogelea kwenye mavumbi,
Tunduma Ina hospital kubwa yenye hadhi ya Makao Makuu ya Mkoa.
Tunduma Inajenga Ofisi za Halmashauri Kwa mapato ya ndani.
Tunduma Ina parking yard kubwa ya malori Kahma hamna.
Tunduma Ina magorofa mengi kuliko Kahama ,
Tunduma inamiliki shule za English medium Kahama hazipo,
Tunduma inazidi Kahama wingi wa magari n hivyo kuwa na Vituo vya mafuta vingi kabisa tena vyenye hadhi,Kahama hakuna..
Tunduma Ina Hotel za hadhi ya nyota 3 kama Tunduma hotel na Ujinga Hill Kahama hakuna .
Kiufupi nyie manyumbu mnafurahia jina la Manispaa isiyo na vigezo ila kwenye ground hakuna kitu.
Muulize Jiwe huko Chato atakujibu..We ni mende kweli kwanini kahama ni manispaa ...Tunduma ni mji pamoja na yote hayo ulotaja..Au ipi ipo juu kati ya manispaa na mjii..Au kipi kinasababisha kuwa manispaa nyingine mji??
Ndo nyie nmewapat pimbi wenye visogo karibu na mikundu yenu, vichwa maji mnamawazo mgando ukiongelea shule za private nyingi ni kahama kama don Bosco,nkTafuta wapumbavu wenzio
Wivu wa nini? Kwani ukiitwa Manispaa ndio utatuzidi Miradi? Hivyo vyote nimetaja hapo Juu mnazidiwa Sasa Manispaa inawasaidia nini?Mwenye wivu jinyonge..Kwanini usipewe wew hyo hadhi kama unaizid KAHAMA
Mimi sio punguani kama.wew ukileta hoja ya kipumbavu Wala sihangaiki kukujibu ,nakuacha na upunguani wako ,Kuna watu walilipwa salary kuwapunguzia ujinga kama hamkuelewa mtajuana huko huko.Ndo nyie nmewapat pimbi wenye visogo karibu na mikundu yenu, vichwa maji mnamawazo mgando ukiongelea shule za private nyingi ni kahama kama don Bosco,nk
Kwani wakati tunapewa manispaa mlikuwa wapi si mngepewa nyieWivu wa nini? Kwani ukiitwa Manispaa ndio utatuzidi Miradi? Hivyo vyote nimetaja hapo Juu mnazidiwa Sasa Manispaa inawasaidia nini?
Hata Lindi ni Manispaa ila hakuna kitu inazidi Njombe,ndio sawa na Kahama..
Mtapelekewa moto Hadi akili ziwakae sawa
Huna Cha kujibu maana huwez fikiri pimbi jike ewe tulia doz ikukae ad urefukeMimi sio punguani kama.wew ukileta hoja ya kipumbavu Wala sihangaiki kukujibu ,nakuacha na upunguani wako ,Kuna watu walilipwa salary kuwapunguzia ujinga kama hamkuelewa mtajuana huko huko.
Huna Cha kujibu maana huwez fikiri pimbi jike ewe tulia doz ikukae ad urefuke