Mussa Montelli
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 188
- 81
Unyumbuni hakuwez kuwa na hospital kama hii kama ipo weka pichaHii inazidiwa na hospitali teule ya mkoa wa shy kolandoto, hivi vitu shinyanga walivipata kipindi cha utawala wa nyerere, nyie pimbi mnaanza kuviona leo.
Onyesha tuione maneno hatutakiHii inazidiwa na hospitali teule ya mkoa wa shy kolandoto, hivi vitu shinyanga walivipata kipindi cha utawala wa nyerere, nyie pimbi mnaanza kuviona leo.
Shinyanga ni Mkoa Mzee lakini hawana hospital ya Mkoa yenye hadhi kama hii ya Njombe.Rufaa njombe wap mkoa wa shinyangaView attachment 2546360View attachment 2546359
Hii kidogo ina afadhali si yale mabwenu ya watoto wa nursery.Shinyanga ni Mkoa Mzee lakini hawana hospital ya Mkoa yenye hadhi kama hii ya Njombe.
Ndo ujiulize kwnn manyumbu wenzenu wamekuja kusini maana yake wameona fursa za uchumiHuko kusini wasukuma wamejaa na wanaendelea kushika uchumi wenu.
Tumekuja kushika uchumi wa wavivu wa huko.Ndo ujiulize kwnn manyumbu wenzenu wamekuja kusini maana yake wameona fursa za uchumi
Huna hojaHii kidogo ina afadhali si yale mabwenu ya watoto wa nursery.
Huku ni atr manyumbu yakija yanachangamka ushamba unawatokaTumekuja kushika uchumi wa wavivu wa huko.
Hahaha Hawa manyumbu kweli eti HiYo ndo ilingane na ya mkoa wa njombeShinyanga ni Mkoa Mzee lakini hawana hospital ya Mkoa yenye hadhi kama hii ya Njombe
Msukuma hawezi kutolewa ushamba na walugaluga wakina mwaisa wazee wa mabwanga.Huku ni atr manyumbu yakija yanachangamka ushamba unawatoka
Ata bukoba wameanza kujenga kule kwa wakina nshomile wakina instabul.
Wanakuja kufundishwa maisha manyumbu yalijua maisha ni kuzaliana kama panya na kufuga ng'ombeMsukuma hawezi kutolewa ushamba na walugaluga wakina mwaisa wazee wa mabwanga.
Uwe unaelewa,kinachojengwa Mbeya sio Cha Bukoba..Ata bukoba wameanza kujenga kule kwa wakina nshomile wakina instabul.
Nilitka kushangaa manyumbuni yapewe chuoUwe unaelewa,kinachojengwa Mbeya sio Cha Bukoba..
Udsm ipo Mbeya mwaka wa 6 Sasa wanatumia majengo ya Rufaa Kanda ya Mbeya ,huko wanajenga tawi Mbeya ni University College ,majengo yake yakitimia itakuwa full fledged university kama Saut Mbeya Sasa ni Chuo Kikuu sio tawi tena.
Kahama mjini ina vijiji 45 alaf ndo manispaaWilaya nzima inakata 58,wilaya ya kahama ina halmashauli3, halmashauli ya manispaa kahama kata 20, halmashauli ya ushetu kata 20,halmaahauli ya msalala kata 18.
Vijiji ni reserv ya mji kutanuka,kama walivyo fanya dodoma jiji,mipaka ya dodoma jiji kuna vijiji na mapoli kuruhusu mji ukue hapo baadae hii ni advantej kwamji,utapo taka kupanda hadhi ya juu zaidi eneo haito kua kikwazo kama ilivyo kikwazo kwa mji wa moshi.Kahama mjini ina vijiji 45 alaf ndo manispaa
Wingi wa watu yaan sehem ikiwa populated na huduma za kijamii zipo na biashara mzunguko uko Kasi at iliitwa kahama Jiji ni sawaKahama mjini ina vijiji 45 alaf ndo manispaa
Jiji la manyumbuWingi wa watu yaan sehem ikiwa populated na huduma za kijamii zipo na biashara mzunguko uko Kasi at iliitwa kahama Jiji ni sawa