Kahama VS Njombe/Mafinga

Ila arusha waga wehu eti USA
 
Mbeya wanajengewa na flyover kabisa pale mafiat hawa watu wa mwanza ndio watapata presha vile hawatakagi kuona mji mwingine ukiendelea
Acha basi barabara ya 138 B ndo iwe na flyover au mnajenga 15km
 
Acha basi barabara ya 138 B ndo iwe na flyover au mnajenga 15km
Kwamba hutaki au? Zinajengwa km 34 Sasa kwani flyover Ina gharama gani?

Flyover mojawapo Kati ya hizi hapa chini inawezekana na Wala Haina gharama zozote isipokuwa hiyo ya Dom unaondoa hiyo ngazi ya pili.
 
Kivipi Mzee hebu fafanua na uweke ya Singida hapa tuone.

Swax baby View attachment 2532739
Hiyo lami pichani inaweza kulika mapema pembeni,, ile ya singida imejengewa msingi wa simenti kuanzia hiyo doulble hadi zile zingine za mjini, ambapo watembeaji ndo hupita, haiwezi kumeguka maana pembeni walinwaga msingi wa simenti, siko singida ningekupigia picha,,
Halafu mitaro yao pia sio ya kulipua, mikubwa na mipana, imejenga kwa concrete slab,, sio kujengewa mawe mawe
 
Acha kuota wew ,,mbeya na fly over wapi na wapi , aliyekuambia kuwa flyovers zinavusha maparachichi nani ..
Tizama mitaa na barabara zenye mwonekano wa majiji


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…