nyie inaonekana hamjafika KAHAMA (JIJi la 7) mnadhanii hako kamjombe ndo kakulingana na kahama manispaaa ..Njombe inatoshana labda na tinde ,kagongwa au kakola halafu hapo kwenye mwanza na mbeya acheni ujinga nyie wambeya yaani mwanza jiji la 4 east africa ulinganishe na huo uchafu kwanza kwa kigezo gani yaan mnatumia ushahidi upi nyie acheni kujitoa ufahamu ..Narudi tena kwenu njombe..Njombe ni mji kahama ni manispaa hadi hapo mkubwa ashajulikana ..We huonagi hata hawa wasanii wakubwa tz ushawahi muona anakuja njombe alale wapi kwenye vibanda au..Lakn kahama kila mara utasikia wasaf haoo sababu wanajua ni sehemu yenye kila kitu wajinga nyieπ₯π₯π₯ Thanks for updates..
Harafu wanataka kile kijinga Chao kama gulio wanaita Kahama eti ishindane na Njombe.
Kichuguu na mlima ππ
Humu sio kijiwe Cha porojo ni mwendo wa facts.nyie inaonekana hamjafika KAHAMA (JIJi la 7) mnadhanii hako kamjombe ndo kakulingana na kahama manispaaa ..Njombe inatoshana labda na tinde ,kagongwa au kakola halafu hapo kwenye mwanza na mbeya acheni ujinga nyie wambeya yaani mwanza jiji la 4 east africa ulinganishe na huo uchafu kwanza kwa kigezo gani yaan mnatumia ushahidi upi nyie acheni kujitoa ufahamu ..Narudi tena kwenu njombe..Njombe ni mji kahama ni manispaa hadi hapo mkubwa ashajulikana ..We huonagi hata hawa wasanii wakubwa tz ushawahi muona anakuja njombe alale wapi kwenye vibanda au..Lakn kahama kila mara utasikia wasaf haoo sababu wanajua ni sehemu yenye kila kitu wajinga nyie
Shida kwelikweli, yaani hata Lodge na Guest house kwenu mnaita hotelSumbawanga is π₯π₯π₯
Render πView attachment 2526930
Actual structures
π View attachment 2526932View attachment 2526933View attachment 2526934View attachment 2526935
Unajua maana ya hotel vis lodge kwanza?Shida kwelikweli, yaani hata Lodge na Guest house kwenu mnaita hotel
Ndio huo ushamba mlionao, mmeshindwa kutofautisha kati ya Lodge na hotel. Hapo hotel ni Mdope pekee zingine zana hadhi ya Lodge mnaita HotelUnajua maana ya hotel vis lodge kwanza?
Huna hoja zaidi ya kubwabwaja maujinga Yako.Ndio huo ushamba mlionao, mmeshindwa kutofautisha kati ya Lodge na hotel. Hapo hotel ni Mdope pekee zingine zana hadhi ya Lodge mnaita Hotel
Ni kweli kwa Mbeya hizi ni kali sana kwa kuwa Mbeya hamna barabara za mtaa kama hiziHuna hoja zaidi ya kubwabwaja maujinga Yako.
Swax tandika hao pimbi na hizi street roads Kali View attachment 2527134View attachment 2527135View attachment 2527136View attachment 2527137View attachment 2527138
We jamaa wakati mwingine huwa unajaza seva bure tu, unaleta vimajengo vya hovyo hovyo.Ukaguzi House , Sumbawanga View attachment 2527142View attachment 2527143
Kwani hapa kuna shida gani?Anzeni na huko kwenu pia π€ͺπ€ͺView attachment 2524723View attachment 2524724
Ni hoteli ya Kanisa hiyoMbona hili ni kama kanisa la mtakatifu fulani?View attachment 2527158
Acha kukurupuka hapo ni Sumbawanga sio MbeyaNi kweli kwa Mbeya hizi ni kali sana kwa kuwa Mbeya hamna barabara za mtaa kama hizi
Ukiniletea bus deluxe na classic kama hili huko uchagoni ,,,niite mbwa [emoji83][emoji75]Acha kukurupuka hapo ni Sumbawanga sio Mbeya
Ushamba unawasumbua Toka mumepata luxury na VIP hatupumui japo sie tunazo Toka Tanzania izaliwe π€£π€£Ukiniletea bus deluxe na classic kama hili huko uchagoni ,,,niite mbwa [emoji83][emoji75]View attachment 2527311
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuongei kwa maneno, leta picha za ndani, au ndiyo semi luxury ya 2x2 imepewa jina la VIPUshamba unawasumbua Toka mumepata luxury na VIP hatupumui japo sie tunazo Toka Tanzania izaliwe π€£π€£View attachment 2527318
Nakupa pole sana Jamaa huko tulishavuka kitambo sana.
Chuma hizi hapa πView attachment 2527319View attachment 2527320
Hii kitu imetulia sana, seat ziko vizuri mno.Ukiniletea bus deluxe na classic kama hili huko uchagoni ,,,niite mbwa [emoji83][emoji75]View attachment 2527311
Sent using Jamii Forums mobile app
hili ni VVIP la matajiri,,nauli 120k ,,,,Hii kitu imetulia sana, seat ziko vizuri mno.
nyie inaonekana hamjafika KAHAMA (JIJi la 7) mnadhanii hako kamjombe ndo kakulingana na kahama manispaaa ..Njombe inatoshana labda na tinde ,kagongwa au kakola halafu hapo kwenye mwanza na mbeya acheni ujinga nyie wambeya yaani mwanza jiji la 4 east africa ulinganishe na huo uchafu kwanza kwa kigezo gani yaan mnatumia ushahidi upi nyie acheni kujitoa ufahamu ..Narudi tena kwenu njombe..Njombe ni mji kahama ni manispaa hadi hapo mkubwa ashajulikana ..We huonagi hata hawa wasanii wakubwa tz ushawahi muona anakuja njombe alale wapi kwenye vibanda au..Lakn kahama kila mara utasikia wasaf haoo sababu wanajua ni sehemu yenye kila kitu wajinga nyie