ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,248
- Thread starter
-
- #12,521
Sasa unabishana na Serikali au? Kama.Chunya hakuna dhahabu Kwa nini kuwe na soko kubwa la Madini baada ya Geita?Chunya h
Chunya huwa mnazalisha dhahabu gani???? (small mining scale) humo hamkosi
Sio inatakiwa ndivyo ilivyo,Kuna wachimbaji wadogo na WA kati,wachina wapo hapo,achana na Mgodi ule wa Mkoa wa Songwe..Kwa hiyo hata RC aliposema Mbeya inataka kuwa namba 2 kwa uchimbaji ni kupitia hao wachimbaji wadogo?
Wachimbaji wadogo na WA kati,huku hatuhitaji migodi ya Wazungu wanasomba Madini na kuwaachia mashimo harafu mnachekelea tuuKumbe unaongelea wachimbaji wadogo. Ndio ufure hivyo? Nilijua unaongelea mgodi bwana mdogo. Sasa wachimbaji wadogo ndio waje wazidi wachimbaji wakubwa wenye wenye Machine na nyenzo za kisasa. Hiyo ndoto inatisha amka
Kanda ya ziwa kuna wachimbaji wadogo na wa kati wengi tu kuzidi hata huko chunya. Unadhani hiyo 12% ya wachimbaji wadogo ni Chunya pekee?Wachimbaji wadogo na WA kati,huku hatuhitaji migodi ya Wazungu wanasomba Madini na kuwaachia mashimo harafu mnachekelea tuu
Wewe mchango wao ni 40% ya mapato ya Madini Tanzania.Kanda ya ziwa kuna wachimbaji wadogo na wa kati wengi tu kuzidi hata huko chunya. Unadhani hiyo 12% ya wachimbaji wadogo ni Chunya pekee?
Hata Mbeya Kuna Mgodi Mpya unakuja piaKuna mgodi mkubwa unakuja kuinua GDP ya Mwanza na kanda ya ziwa unaitwa Myanzaga baba lao
Mimi nimeongelea sekta ya madini ya dhahabu kwa ujumla kwa kila mgodi na mchango wake. Kwa wachimaji wadogo ndio wanashare ya 12% ya dhahabu yote inayochimbwa nchini.Wewe mchango wao ni 40% ya mapato ya Madini Tanzania.
Nani kasema ni Chunya peke yake? Huku Chunya ndio Wamepata maeneo mazuri yenye madini sio huko Kwa wazungu wanakosafisha makinikia.
Kwani hiyo small scale ina maana gani?Hapo ni Kwa migodi sio Kwa Wilaya maana kuna wachimbaji wadogo bwashee
Nimeweka Hilo tangazo na kuuliza swali hapo Juu hujajibu unakimbilia kuleta umbea..mliokuwa mnachekelea barabara,,kusinj,..tuliwaambia vicheko vyenu havina muda ....hamna kitu hakitaletwa Kanda ya ziwa ni suala la muda tu...wale dual carriage hapo viazi town jiandaeni mwezi march Kuna kizito kinakuja Toka mwanza .
Kagera inazidi kuwa onView attachment 2519750
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunduma mapato zaidi ya Bil.13 kutoka 8.5Kwani hiyo small scale ina maana gani?
Ukipata hii huko Lake zone unitagMimi nimeongelea sekta ya madini ya dhahabu kwa ujumla kwa kila mgodi na mchango wake. Kwa wachimaji wadogo ndio wanashare ya 12% ya dhahabu yote inayochimbwa nchini.
Ndio nikauliza huo mchango wa 12% wa wachimaji wadogo kwenye dhahabu kwa ujumla wake wanatokea chunya pekee?
Barabara zimepinda pinda kama nyoka!!! π π π π π Sio sifa ni umasikini huo, ilitakiwa viwekwe vitu kama hivi.....Our beauty is no match to none,wanaripoti Zoom Afrika
Ndio uzuri wenyewe huo uliowasukuma zoom Afrika kuripoti.Barabara zimepinda pinda kama nyoka!!!Sio sifa ni umasikini huo, ilitakiwa viwekwe vitu kama hivi.....
Hizo landforms hata wachina wanazo, hakuna kipya