Ngoja niwatembezee moto, mijitu ya kusini akili zao ni sawa na vimo vyao😀😀😀Njombe Town Council (Halmashauri ya mji Njombe) unataka upambane vs Kahama Municipal Council - Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Hivi kweli Halmashauri ya Mji ipambane na Manispaa?
Hivi kwanini hii mada haifutwi? Sioni mwendelezo wake wala maana halisi, mada zenye mvuto zinafutwa mara tu, lakini hii ipo siku hadi sikuKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?