Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwa hyo ,, aviation services huko ni poor Kwa sababu ya financial capacity ya raia wenu ni ndogo si eti
Kutwa kusema na kushabikia takwimu zao za michongo eti mikoa ya kanda maskini

Hakuna mtu mwenye hela zake na haraka zake atakeyefurahia kupanda mabasi kila siku kwenda huko kusini....ishu ni kwamba hawana hela
 
Yaani ikitokea leo, Air Tanzania waambiwe wachague viwanja vitano vya kudumu kwa ajili ya biashara yao, huko Kusini hamtoi hata kiwanja kimoja yaani viwanja vyote watageuza mashamba ya maharage na mpunga.

View attachment 2505654
Yaani Songwe yenyewe badala ya abilia kuongezeka idadi inashuka, ngoja Sunk aje na mabasi kwanza
 
Yaani ikitokea leo, Air Tanzania waambiwe wachague viwanja vitano vya kudumu kwa ajili ya biashara yao, huko Kusini hamtoi hata kiwanja kimoja yaani viwanja vyote watageuza mashamba ya maharage na mpunga.

View attachment 2505654
Abiria wa bukoba wamepanda siku hiz...ni 80000 kwa mwaka....

Halafu anakuja mtu ya njombe na serikali yake anasema mkoa wa kagera watu hawana vipato

Kwan Bukoba ndo mbali peke yake kutoka Dar?
 
Yaani ikitokea leo, Air Tanzania waambiwe wachague viwanja vitano vya kudumu kwa ajili ya biashara yao, huko Kusini hamtoi hata kiwanja kimoja yaani viwanja vyote watageuza mashamba ya maharage na mpunga.

View attachment 2505654
Yaan Dodoma na kuwa capital city...abiria inazidiwa na Bukoba mji ambao wala sio economic capital? Na hauna uwekezaji wa maana wa serikali
...

Halafu tukisema Bukoba pajengwe uwanja mpya wa kimataifa wa ndege watu wanapinga...lakin Dom wanakubali
 
Makambako tc
 
Attachments

  • IMG_20230204_121421_714~3.jpg
    66 KB · Views: 10
  • IMG_20230204_122313_096~2.jpg
    227.3 KB · Views: 11
  • FB_IMG_16746099885643737.jpg
    57.2 KB · Views: 11
Njombe Town Council (Halmashauri ya mji Njombe) unataka upambane vs Kahama Municipal Council - Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Hivi kweli Halmashauri ya Mji ipambane na Manispaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…