Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza mkiniletea Kituo kikoja tuu Cha Wanasayansi nafunga account.

NIMR Mbeya
Kwamba mwanza hamna NIMR ,,

Si unakuja mwanza tembelea isamilo utapata kituo chao...
Pia Kuna maabara na hospital maalumu ya utafiti ..fika kitangiri kama unaelekea bwiru ..
Ukiacha NIMR Kuna TAFIRI (wanasayansi na watafiti wa aqua culture)


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…