The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Mbona wewe ni kilaza sana?Kilimo cha nini mzee. Kanda ya ziwa hawajui hata mchele wenu wa mbeya. Huna exposure
Hii kweli kabisa, nimezaliwa na kukulia Mwanza, hii habari ya sijui mchele wa Mbeya nimekuja kujua nilipofika darKilimo cha nini mzee. Kanda ya ziwa hawajui hata mchele wenu wa mbeya. Huna exposure
Kilimo gani unakiongelea wewe mshamba?Mbona wewe ni kilaza sana?
Mbeya inaongoza Kwa Kilimo Cha pareto,
Mbeya Ina mazao ya biashara kama chai na kahawa,Kakao,kokoa
Mbeya Ina Kilimo Cha mazao ya mboga mboga kama parachichi,viazi,ndizi,maharage,soya nk,
Mbeya inafanya vizuri mazao ya Chakula,mchele na mahindi nk(mchele Wetu ni grade ya Juu nyie maskini hamna pesa za kununua tuna export),
Biashara anuwai
Mbeya Ina Madini ya dhahabu na makaa ya mawe,neobeum,Natural Carbon dioxide ,
Tanzanian firm eyes share of $10.36 billion global carbon dioxide market
Simba Gas, is eying a share of the global market of the product, currently valued at $10.36 billion..www.thecitizen.co.tz
Nyuma ya Morogoro umeona Mkoa gani? ππHapa mpaka ukimbie. Maana ushamba umekujaa. Check mikoa ya kanda ya ziwa ilivyojazana, kilimo cha mpunga
View attachment 2492663
Sweet potatoes ππππ
Kilimo gani unaongelea wewe. Mnalima zao moja tu?Nyuma ya Morogoro umeona Mkoa gani? ππ
Hizi ni nini? Njugu au?Kilimo gani unaongelea wewe. Mnalima zao moja tu?
View attachment 2492691
Kilimo gani sasa unapigia kelele wewe. Ondoa ushambaHizi ni nini? Njugu au?
Kilimo gani unaringia wewe?Hizi ni nini? Njugu au?
Inaleta vitu vya kipuuzi eti matikiti maji ππ
Mazao yaliyojifia haya ndio unayaleta,wakulima si wanang'oa Miche huko au?Kilimo gani unaringia wewe?
View attachment 2492699
Nataka hii issue ya kilimo uifute kabisaInaleta vitu vya kipuuzi eti matikiti maji ππ
Kwimba sawa na Bahi full ukame,Mbeya Haina ukame wewe ndege JohnHii sehem naifananisha na kwimba, pako hiv hiv jengo moja la floor tano alaf nyumba za pemben ni za kawaida.
Funga bakuli lakoMazao yaliyojifia haya ndio unayaleta,wakulima si wanang'oa Miche huko au?
Hii kiboko yaani Kagera yenye kiwanda Cha Sukari is at the bottom harafu nyie maskini wa Geita ndio mnalima sana miwa ππππ.
Safi kiongoziHapa mpaka ukimbie. Maana ushamba umekujaa. Check mikoa ya kanda ya ziwa ilivyojazana, kilimo cha mpunga
View attachment 2492663
Utakuwa huelewi, Uchumi wa mikoa yetu hautegemei kitu kikoja Bali vitu vingi.Funga bakuli lako
View attachment 2492710
Utakoma leo lazima ulale na viatuHii kiboko yaani Kagera yenye kiwanda Cha Sukari is at the bottom harafu nyie maskini wa Geita ndio mnalima sana miwa ππππ.
Interesting
Unapelekewa moto mpaka unatafuta excusesπππππNyuma ya Morogoro umeona Mkoa gani? ππ
Mbaya zaidi Mikoa yenu Haina uhakika wa Kilimo Cha mpunga sababu ya ukame,mvua zikinyesha mnaivisha zikizingua mnaugulia kama mwaka uliopita ila Nyanda za Juu Kusini Toka umezaliwa umewahi sikia hakuna mvua?
Kama vyote hivyo mnaongoza inakuaje top 10 ya GDP Mikoa ya Mbeya na Ruvuma inawapelekea moto?Unapelekewa moto mpaka unatafuta excusesπππππ