Poor reasoning Huwa ni tatizo linalokusumbua muda mrefu ...hyo sio sababu ya kusema ..kama ishu ni gharama za ujenzi iwe ni sababu, njombe na mtwara zingeongoza kwenye list Kwa sababu ujenzi kwenye mikoa hyo ni ch
Fursa ipi sasa kwani hiyo Barabara inayopita mikumi, kitonga, mafinga, makambo, njombe, milima madaba hadi songea kupitia mshangano, msamala, bombambili, hadi songea mjini(majengo). Haikuwepo???. Mlikuwa mnasafiri kwa ungo au ndo kujitoa ufahamu.Kwetu kunazidi kunoga,Fursa zinafunguliwa,Wakola lazima mlazwe pampa.
Miradi ya Barabara kede kede π
Una akili timamau? Sawa ilikuwepo waambie basi watoa taarifa hapo kwamba wamekosea Kwa nini wanaitaja wakati ilikuwepo?Fursa ipi sasa kwani hiyo Barabara inayopita mikumi, kitonga, mafinga, makambo, njombe, milima madaba hadi songea kupitia mshangano, msamala, bombambili, hadi songea mjini(majengo). Haikuwepo???. Mlikuwa mnasafiri kwa ungo au ndo kujitoa ufahamu.
Kabla ya kwenda kujisifu Kwa kujamba hovyo Ruvuma ukitakiwa muondoe umaskini na ufukara uliotopea huko Kanda ya Ziwa mnakokula Albinoπ€£π€£Mnayebishana naye hajafika hata kanda ya Ziwa. Ruvuma sasa hivi inachangamshwa na watu toka kanda ya ziwa. Watu wa Ruvuma wazembe mno.
Umeweka na population ya Ruvuma? SIpendi kubishana na mbumbumbu mimi. Huko Songea nimekaa napajua. Wanaofanya kazi huko ni wageni either kutoka Mbeya au Kanda ya ziwa. Watu wa ruvuma ni wazembe sana.Kabla ya kwenda kujisifu Kwa kujamba hovyo Ruvuma ukitakiwa muondoe umaskini na ufukara uliotopea huko Kanda ya Ziwa mnakokula Albinoπ€£π€£
Mbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.Umeweka na population ya Ruvuma? SIpendi kubishana na mbumbumbu mimi. Huko Songea nimekaa napajua. Wanaofanya kazi huko ni wageni either kutoka Mbeya au Kanda ya ziwa. Watu wa mbeya ni wazembe sana.
Ukitaka kujua angalia size kwa eneo ya mkoa linganisha na mikoa ya kanda ya ziwa.
Yaani kwa akili yako unataka ulinganishe Mwanza na Ruvuma. Hivi upo sawa kweli kichwani?Mbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.
Kama mnazaana kama simbilisi na hamzalishi mlitegemea nini?
Nani ambae haifahamu Ruvuma au Kanda ya Ziwa? Acha kukariri nguchiro..
Kabla ya kwenda kujamba Ruvuma ilitakiwa muondoe mabanda haya ya Nguruwe huko kwenu UsukumaniππππView attachment 2492551View attachment 2492552View attachment 2492553
Kusanya Mbeya+Njombe+Songwe+Ruvuma hutokaa uifikie Mwanza.Mbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.
Kama mnazaana kama simbilisi na hamzalishi mlitegemea nini?
Nani ambae haifahamu Ruvuma au Kanda ya Ziwa? Acha kukariri nguchiro..
Kabla ya kwenda kujamba Ruvuma ilitakiwa muondoe mabanda haya ya Nguruwe huko kwenu UsukumaniππππView attachment 2492551View attachment 2492552View attachment 2492553
Hii picha ni ya kitambo hapo mjini kati kila eneo ni magorofa kama yote mkuu, japo ata hii picha uliyoweka lakini inakalisha miji yote ya nyanda za juu kusini ukijumlisha na jiji lao la viazi mviringo.Yaani kwa akili yako unataka ulinganishe Mwanza na Ruvuma. Hivi upo sawa kweli kichwani?
Haya hebu tuambie vyanzo vya mapato vya Ruvuma
Usirudie kuleta ujingaMbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.
Kama mnazaana kama simbilisi na hamzalishi mlitegemea nini?
Nani ambae haifahamu Ruvuma au Kanda ya Ziwa? Acha kukariri nguchiro..
Kabla ya kwenda kujamba Ruvuma ilitakiwa muondoe mabanda haya ya Nguruwe huko kwenu UsukumaniππππView attachment 2492551View attachment 2492552View attachment 2492553
Na hapo kwenye vibanda banfa hapo walishaanza ujenzi wa machinga complex, ya thamani ya 2.5 bilion, igogo ni zaidi ya mbeya cbd.Igogo uswahili jiji mwanza inatosha kuingamiza mbeya cbd yote na ikabaki na change kwa idadi ya magorofa
View attachment 2492570
Mikde njoo ubebe boga lako,mbumbumbu wa uchumi wewe utajadili nini unachokijua?Usirudie kuleta ujinga
Leta picha za sasa za hapo mabatini, unakimbilia Google kutafuta excuses za picha za miaka ya 1990, na bado mnaziongezea filter mbaya ili pazidi kuonekana ovyoππππ.Mbumbumbu ni wewe ambae huelewi factor ya population kwenye uchumi.
Kama mnazaana kama simbilisi na hamzalishi mlitegemea nini?
Nani ambae haifahamu Ruvuma au Kanda ya Ziwa? Acha kukariri nguchiro..
Kabla ya kwenda kujamba Ruvuma ilitakiwa muondoe mabanda haya ya Nguruwe huko kwenu UsukumaniππππView attachment 2492551View attachment 2492552View attachment 2492553
Don't ever compare Green City with decent living na hayo mabanda ya Nguruwe huko Mwanza π€£π€£Igogo uswahili jiji mwanza inatosha kuingamiza mbeya cbd yote na ikabaki na change kwa idadi ya magorofa
View attachment 2492570
Kwani kipi kimebadikika? Tena saizi uswazi wa mabanda umeenea Kila sehemu ya MwanzaLeta picha za sasa za hapo mabatini, unakimbilia Google kutafuta excuses za picha za miaka ya 1990, na bado mnaziongezea filter mbaya ili pazidi kuonekana ovyoππππ.