Kahama VS Njombe/Mafinga

Ujenzi Dodoma ni expensive kuliko Mwanza na Geita
Poor reasoning Huwa ni tatizo linalokusumbua muda mrefu ...hyo sio sababu ya kusema ..kama ishu ni gharama za ujenzi iwe ni sababu, njombe na mtwara zingeongoza kwenye list Kwa sababu ujenzi kwenye mikoa hyo ni cheap
 
Poor reasoning Huwa ni tatizo linalokusumbua muda mrefu ...hyo sio sababu ya kusema ..kama ishu ni gharama za ujenzi iwe ni sababu, njombe na mtwara zingeongoza kwenye list Kwa sababu ujenzi kwenye mikoa hyo ni cheap
📌📌 Unatafuta kichaka sasa,

Wapi Dar to Kahama?
 
Ebu rudia kamanda wangu nadhani sijakuelewa unamaanisha mbeya walifanya uchawi tu na mambo ya kitamaduni na kumtoga rais kikwete adi wakapewa hadhi ya jiji😂😂😂😂😂😂😂 ila hili nalo liangaliwe.
Hilo jamaa ni boys halina akili limevamia Uzi sijui kutoka wapi 😁😁
 
Sasa ulitegemea majengo yawe mengi Les minajiri ipi?
Sio hoja. Mbona Kigoma mmewazid majengo wakat population yenu ni ndogo. Nyie kinachowafany mbeya iwe miongon mwa majiji ni sabab ya sera ya serikal juu ya uwepo wa jiji kila kanda tofaut na hapo mbeya haitoboi kwa geita
-Mbeya 8.3T GDP.
-Geita 6.6T GDP.

Tofaut 1.7T,hii ni sabab ya sera ya jiji kila kanda,so investment za serikal mbeya ni toafut na geita.

Serikal ikiamua kuwatreat sawa na geita ikatoa kivuli cha jiji la kanda #HAMTOBOI
.

Mbeya kanda ya ziwa ni simiyu
.
 
Ata mimi nilikuwa nawaza sana inakuwaje akili za sunk zipo tofauti na speaker mh tulia, leo umenitoa tongotongo.
 
Hao wa Kigoma wanazaana hovyo yaani kwenye banda Moja unakuta watu 6 hadi 8 kama tuu huko Geita 😂😂
 
Ulikuwa wapi soja, endelea kuwasha moto.
 
Wewe Kwa akili Yako ya michembe na udaga unadhani hizo ratio zinamanisha nini?
Sitak kujua zinamaanisha nin kwako ila kwang hiz ratio zinamaanisha wew mropokaji nguli pia muongo mstaarabu
.

-Umesema geita nyumba moja wanakaa watu 6 mpka 8,hiz data umetoa wap
.

-According to statistics nyumba moja geita inawatu 4 mpka 5 nzur kabisa kiafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…