Kahama VS Njombe/Mafinga

Ndo umeshamaliza Hutu tubarabara twa hicho kilinge Cha uvuvi?
Naona umeanza kufloat [emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Hapo Niko natest injini tu ..kazi haijaanza .
[emoji116]
Huku barabara zinafika Hadi mlangoni mwa makazi ya watu..
NYAMAGANA [emoji91][emoji91]
 
Very local,walio design hizi Barabara walisomea Kahama Vct au? 😆😆.

Hizo kerb stones Zina protect kitu gani wakati zinatakiwa kuwepo hapo kwenye mstari wa road marking Ili kuzuia driving kwenye shoulders ambazo zinatumiwa na watembea Kwa miguu,Sasa wao wameweka huko kwenye mtaro Ili iwaje?
 
Kawaambie tanroads,,sio Mimi ...by the way unatafuta exit door [emoji3062][emoji3062][emoji3062]
 
Kali za huko mwaloni ziko wapi? Wewe inazionaje?
Exposure yako ndo imekufany uone hizo barabara ndo kali #ICAN'TBLAMEYOUMR[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kupost barabara za mwanza eti kisa umepost hizo njia za wapita kwa miguu ni kuikosea heshima mwanza

Zingatia uzi,nadhan waombe watu wa Kahama barabara kama izo labda mtalingan japo ni haiwezekan kulingan na Kahama even dhambi [emoji41]
 
Humu Huwa hatupanui Domo bila ushahidi wa picha,weka hapa barabara za huko mwaloni, hadithi zako hatuzihitaji hapa
 
Humu Huwa hatupanui Domo bila ushahidi wa picha,weka hapa barabara za huko mwaloni, hadithi zako hatuzihitaji hapa
Nshakwambia kuleta picha za barabara mwanza eti kisa umeleta huo upuuzi ni dharau kwa wanamwanza. Kiufupi mwanza ni mikoa yote ya nyanda za juu kusini [emoji41]

Waombe wanamwanza ruhusa kwamb unatak kuziona barabara za mwanza then wakikubali ntaleta picha hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Boy From Uswekeni umenielewa
 
Wewe ni mjinga na unaleta excuses za kindezi wakati we know kwamba huko Fishing zone hakuna hizo Barabara Kali ni upuuzi tuu..
 
Wewe ni mjinga na unaleta excuses za kindezi wakati we know kwamba huko Fishing zone hakuna hizo Barabara Kali ni upuuzi tuu..
Nshakupa maeelekezo ZINGATIA instructions [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

INSTRUCTIONS
01.Omba ruhusa
02.Lete nakal ya ruhusa
03.Letewa picha
 
Nshakupa maeelekezo ZINGATIA instructions [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

INSTRUCTIONS
01.Omba ruhusa
02.Lete nakal ya ruhusa
03.Letewa picha
[emoji28][emoji28][emoji28]mnyooshe huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…