Hizo ndio points za maana Chuo Cha Uyole kinafanya Nini pale Mjini? Serikali ikanunue Maeneo Huko Wilayani Tena mbali na Mji ili wajenge Chuo huko,unawekeaje Chuo Cha Utafiti wa Kilimo Ndani ya Jiji?
Vyuo vingine vya Utafiti vya Wizara ya Kilimo vyote viko Vijijini huko.Watu wa Serikali wanakera sana..
Hivi wanashindwa kwenda kwa Rais ili afutilie mbali Hilo eneo hapo na watafute maeneo Wilayani au Mkoa Kama Rukwa,Njombe nk kwa ajili ya Mashamba ya Utafiti?