The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Utaelewa tu [emoji116]
Kama raisi kashatia saini...sa hvi initial stage za kuandaa eneo ...
Bas unaona wivu [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2473679
Migodi inatakiwa kuwa hivi 👇Wazawa wanawekeza kwenye rasilimali za nchi Yao ...nyie endeleeni kulima majaruba hapo kiwira na igulusi [emoji116][emoji12]View attachment 2473641
Eti mkoa wa madini [emoji75][emoji75][emoji83][emoji83][emoji83]Mkoa wa Madini wa Chunya [emoji116]
Hapo pembeni Kuna jengo wameanza ujenzi litakuwa floor 13Ghana .ilemela..mbeya lazima maji ayaite mma ....
Size yenu ni Ile townView attachment 2473522View attachment 2473523
Miji yote ina UKIMWI wa hatari.
Karibu Kanda ya ziwa [emoji116]Mbeya [emoji116]
Shinyanga ina kaupendeleo tu kisa iko barabara kuu, ila kwa speed ya sasa ya Kahama inapitwa mengi.
.
Njombe haipafikii Kahama japo inawekewa kauzibe sana.
🚮🚮Karibu Kanda ya ziwa [emoji116]View attachment 2473859