Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwa nini uchumi wenu mnauwaza kwenye mabasi sana?.

Avocado ni dhahabu mnayochezea, zinauzwa bei sana nchi za ulaya, muungane mlilie serikali ili iwepo ndege angalau mara moja kwa wiki pale songwe.
Mwingiliano wa watu hautawasaidia sana kwa sababu mmezungukwa na nchi nyingi maskini tofauti na kanda ya ziwa
 
cc Kitombile

Sio tuu CEO wa TanRoads anatokea Njombe Bali hata Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na CEO wa Ruwasa so maji yatakuwa uhakika πŸ‘‡


 
Mikoa yetu Ina fursa nyingi tofauti na avocado inayokupagawisha..
Soma hiyoo
πŸ‘‡
 
HAHa we jamaa ko Kanda ziwa ndo mmezungukwa na nchi tajiri acha kujitoa ufahamu mzee nchi za SADC zinaeleweka
 

By then kahama ni next level..size ya mbeya..

Machali Tower
View attachment 2463687View attachment 2463688View attachment 2463689
Kahama barabara ni kitendawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…