Kahama VS Njombe/Mafinga

Stand ya Mabasi Kahama kule gold inatoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Kama Mwanza wasingeharibu vile vimilima kwa mabanda ya nguruwe Basi wangekuwa na mandhari safi Kama hii hapa
View attachment 2443481View attachment 2443482
Mbona unaangalia milima tu ..au hujui hata rio de Janeiro Kuna vilima vya makazi . anyway..sa hvi mwanza makazi ya milimani ni just 25 percent...asilimia 65 ni tambalale safi na mji umekua sana , tofauti na zamani ambapo makazi ya milimani yalikuwa 70 percent ya jiji .

VISIT NYAKATO MWANZA
 
Ukitoa ukubwa wa kieneo mbeya ni kijiji mbele ya morogoro hata kwenye ligi ya hotel za nyota tano mbeya ndo haiifikii Moro hata kwa asilimia 1%


Hats ndugu zangu wa arusha mjiangalie vizuri kwa hii kasi ya ukuaji na uwekezaji wa Moro Luna Siku mtalia
 
Mbeya hakuna crossing lights
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…