Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha kukurupuka,hujamuelewa huyo jamaa ,anazungumzia taa za kuongozea magari yaani traffic lights na sio taa za Barabara kwa maana ya street lights.
 
Hata wenyeji wake hawaelewi ni wapi...wanaangalia lilipo soko na stendi ndo wanapaita mjini
Sawa vipi waliwahi kosa Huduma ipi kwa msingi wa kutokujua CBD iliko?

Huoni kwamba Mbeya imechukua direction ya Miji ya kisasa ambayo Huduma hazirundikani eneo moja mnaloita CBD?
 
Acha kukurupuka,hujamuelewa huyo jamaa ,anazungumzia taa za kuongozea magari yaani traffic lights na sio taa za Barabara kwa maana ya street lights.
Kwan yeye intelligent anasema street lights au anasema traffic lights... Kila eneo mwanza Kuna crossing lights,anzia Usagara Hadi mjini ...na traffic lights zipo nyakato, buzuruga,nela,Kona ya bwiru, pasiansi,nata , Nyerere road,na junction ya pamba na Nyerere...
 
Cbd ni central business district, kama hizo mwenge sijui kijitonyama mara wapi ni districts basi zinastahili kuwa ata cbd 50 dar, je kwa mwanza tuseme nyegezi, kirumba, buzuruga na buhongwa ni cbd kwasababu pamechangamka kibiashara.
Hapo eweka kirefu Cha CBD ,maana yake Ni ipi?
 
Sawa vipi waliwahi kosa Huduma ipi kwa msingi wa kutokujua CBD iliko?

Huoni kwamba Mbeya imechukua direction ya Miji ya kisasa ambayo Huduma hazirundikani eneo moja mnaloita CBD?
Huduma Gani unazozisema ..majiji yote duniani Yana financial district...new York Manhattan,London central London, mwanza nyamagana,dar ilala ,wew unasema jiji Gani la kisasa
 
Sidhani Kama Ni Mambo ya kujivunia Sana japo Yana umuhimu wake..

Mbeya kwa sehemu kubwa inatumia njia kubwa Moja ya Tanzam ukisema ufunge hizo taa sio tuu utaleta jam Bali utasababisha usumbufu usio na msingi hasa kwa magari ya Transit ndio maana hata hawahangaiki na hayo ma traffic lights..

Mwisho baada ya Upanuzi wa Barabara zitafungwa Baadhi ya maeneo hasa Meta,Uyole na Kabwe ukiacha hapo Mafiat
 
Huduma Gani unazozisema ..majiji yote duniani Yana financial district...new York Manhattan,London central London, mwanza nyamagana,dar ilala ,wew unasema jiji Gani la kisasa
Ndio mtizamo wa zamani huo wa kuwa na CBD.Nakuuliza wewe Sasa kwa kutokuwa na CBD wamekosa huduama ipi? Au hujui hata maana ya hiyo CBD?
 
Mji kukosa CBD maana yake uko disorganized na inappropriate.. majiji yenye organized plan ..Yana CBD , industrial park, settlement areas, city parks and recreation center...
 
Kwa hiyo kutokuwa na cbd ndio disorganised au ? 😁😁😁😁.

Kati ya Mwanza na Mbeya wapi Ni slums City? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Bullet train yenu hii hapa πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Kwanini hao photographer unadhani hawana muda na kutafuta picha mbeya? Au huo mji haupendezi? Au hakuna mahali pakuwavutia? Au hakuna mtu anayeipenda? Au wanaona aibu kupiga picha mbeya yao wataumbuka? Au ni mji wa ovyo ndio maana watu hawana muda?
 
Ni hobby tuu,waliopo wako busy na masuala ya kitalii..

Hizi picha hapa chini nilipiga Ituka na Iwambi Kama zingechukuliwa kwa drone ungeona bonge la neighborhood.

Na hapo nilipiga za underconstruction maana finished watu wamefunga ma CCTV camera utakamatwa πŸ‘‡
 
Kwanini hao photographer unadhani hawana muda na kutafuta picha mbeya? Au huo mji haupendezi? Au hakuna mahali pakuwavutia? Au hakuna mtu anayeipenda? Au wanaona aibu kupiga picha mbeya yao wataumbuka? Au ni mji wa ovyo ndio maana watu hawana muda?
rafiki angu kitombile.hiv mji kama haupendezi ,unapigaje picha
 
Haupendezi au siyo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Karibia ntakuwa Wade Maya mwenyewe nisajili blog yangu ili niwe nawapa vitu vikali kutoka Mbeya.

Bado tuko Ituka kule wanakaa kina General Mboma πŸ‘‡
 
Mji kukosa CBD maana yake uko disorganized na inappropriate.. majiji yenye organized plan ..Yana CBD , industrial park, settlement areas, city parks and recreation center...
Ili jiji likamilike haya ni mambo ya muhimu si kujaza tu maghorofa mjini, na mwanza imetimiza haya, na sio park tu ina national park katikati ya jiji😍😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…