Kahama VS Njombe/Mafinga

Hapo majumba mengi ni yatope yaani hawa wana Mbeya huwa wanajitapa ujinga! Huu mji hadi SIngida haina huo ujinga!
Aliyeita mbeya jiji na green city ,kitu chake kipo motoni Tayari kinamsubiri
 
Hapo majumba mengi ni yatope yaani hawa wana Mbeya huwa wanajitapa ujinga! Huu mji hadi SIngida haina huo ujinga!
Watu wa mbeya hawaipendi iringa Kwa sababu inawazidi vingi ...na soon iringa inahamia central zone....
Iringa is far better than trash city mbeya
 
Iringa wako mbali sana kwa kila kitu! Ila hawa wanyaki kazi kujimwambafai! Dunia imebadilika sana yaani hata Kahama haiwezi kuwa na huo ujinga! Yaani hata hapo Mbalizi ni majumba ya tope kila kona!
Tumekubali maghorofa hawana lakin hata ujenzi wa nyumba Kali umewashinda ...kahama mji wa kitajiri huu huwezi linganisha na hicho Kijiji ..huku mijengo ni high roof.but modern msauzi ,,gari za kutosha ,huduma everywhere...
 
Iringa wako mbali sana kwa kila kitu! Ila hawa wanyaki kazi kujimwambafai! Dunia imebadilika sana yaani hata Kahama haiwezi kuwa na huo ujinga! Yaani hata hapo Mbalizi ni majumba ya tope kila kona!
KCB wamefungua branch kahama...
Tayari equity,DTB ,bank of Africa wamefungua matawi ...hii maana. Yake kwenye huduma za kifedha KAHAMA is far better than mbeya
 
Kila siku nakuambia hujawahi kuwa na logic hata siku moja ..
Mbeya trash city kama Ina ubavu. Leta picha za juu za mitaa yenu tuone hayo mabanda ya kuku ....na hayo madongo hapo ...
Rock city is here. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”₯πŸ”₯😁
Kwa hiyo hizo picha ndio sehemu wanaishi ma bwanyenye wa Mwanza?

Sasa hapo Kuna Nini Cha kuizidi Forest mpya, uzunguni,Ituka,Iwambi,Tazara, Isyesye au Veta Ikulu?

Video πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo hizo picha ndio sehemu wanaishi ma bwanyenye wa Mwanza?

Sasa hapo Kuna Nini Cha kuizidi Forest mpya, uzunguni,Ituka,Iwambi,Tazara, Isyesye au Veta Ikulu?

Video
Hiyo mitaa unavyoitaja utazani pa maana ..kumbe hovyo tu ...leta picha hapa kama wew mwamba ....
By the way sijakuletea hata nusu tu ya picha za mitaa za mabwanyenye..hyo mitaa ni watu wa middle class tu
 
Kwa hiyo hizo picha ndio sehemu wanaishi ma bwanyenye wa Mwanza?

Sasa hapo Kuna Nini Cha kuizidi Forest mpya, uzunguni,Ituka,Iwambi,Tazara, Isyesye au Veta Ikulu?

Video
sasa hii ndo mtaa wenu wa mabwanyenye
...sasa hapa na Usagara,au kisesa si wapi pakali..mbona kisesa ni classic kuliko huu utopolo

Hiki ndicho kinapatikana kwenye video yako ...the new forest .
 
KCB wamefungua branch kahama...
Tayari equity,DTB ,bank of Africa wamefungua matawi ...hii maana. Yake kwenye huduma za kifedha KAHAMA is far better than mbeya
View attachment 2442054View attachment 2442055
Unaonesha jinsi ulivyo mpumbavu.Equity wako Mbeya Miaka mingi Sana hata Absa wapo kitambo sana..

Size ya Kahama Ni Tunduma iliyowazidi mapato
 
Leo nimefanikiwa kufika nsalaga aka Mbweni ya mbeya ,au nyasaka ya mbeya au muriet ya mbeya ,au kisasa ya mbeya
View attachment 2442015View attachment 2442017
Ul Ulinganishe kisesa au usagara na nsalanga? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…