Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • mwanza-4.jpg
    1.4 MB · Views: 7
  • mwanza-7.jpg
    1.3 MB · Views: 6
  • mwanza-8.jpg
    742.8 KB · Views: 6
  • 62598a2e5059d370489e977f_Hotel-Tilapia-Mwanza-Tanzania-2.jpg
    69.5 KB · Views: 6
  • dusk-mwanza-tanzania-night-falls-over-city-north-western-s-second-largest-major-port-lake-vict...jpg
    72.6 KB · Views: 6
  • TZ_Mwanza.jpg
    45.3 KB · Views: 6
  • small-market-mwanza-tanzania-june-people-along-one-main-road-town-june-72118691.jpg
    83.3 KB · Views: 7
The Sunk Cost Fallacy anamatatizo ya akili yaani hiyo Mbeya ni uchafu tu mbele ya MWanza!
Picha ziko wapi za Mwanzo ili tulinganishe..

Au huu uchafu sio Mwanza? 😁😁😁😁
 

Attachments

  • IMG_0654_1_report.jpeg
    1.7 MB · Views: 5
  • 2.jpg
    79.2 KB · Views: 5
  • Mwanza1.png
    595.5 KB · Views: 5
  • typical-rock-formations-in-the-suburbs-of-the-city-of-mwanza-near-lake-victoria-tanzania-afric...jpg
    247.5 KB · Views: 5
  • 63f1e41e03e34a9423d4ee08431e0204.jpg
    45.1 KB · Views: 5
  • 050e43a7b6747e4dfc68df1d24c07ee7--mwanza-tanzania-slums.jpg
    87.8 KB · Views: 5
  • 65517643-hills-and-rocks-with-houses-in-mwanza-on-the-shore-of-lake-victoria-tanzania.jpg
    243.5 KB · Views: 5
  • mwanza-tanzania-november-11-2008-260nw-224283430.jpg
    29.4 KB · Views: 5
  • mwanze-stad-1920x1280-18.jpg
    202.9 KB · Views: 5
af uyole idadi ya gorofa inazidiwa na zilizopo nyamhongoloπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kama Kawaida mnaogopa kuweka aerial photos za Mwanza kwa sababu mnajua Ni mabanda ya nguruwe na mbaya zaidi yako disorganised..

Huyo boya anasema Uyole Ni uchafu Sasa unashindwa kumuelewa kwamba Ni wivu au hasira?

Hapo Kuna clear mitaa,Barabara nk na hivyo viwanja Ni high density lazima nyumba zisongamane..
 
Kila siku nakuambia hujawahi kuwa na logic hata siku moja ..
Mbeya trash city kama Ina ubavu. Leta picha za juu za mitaa yenu tuone hayo mabanda ya kuku ....na hayo madongo hapo ...
Rock city is here. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”₯πŸ”₯😁
 

Attachments

  • IMG-20221106-WA0007.jpg
    263.7 KB · Views: 6
  • IMG-20221106-WA0012.jpg
    233.8 KB · Views: 6
  • IMG-20221106-WA0015.jpg
    261.1 KB · Views: 5
  • IMG-20221105-WA0014.jpg
    169.7 KB · Views: 7
Kila siku nakuambia hujawahi kuwa na logic unasema nakutukana .... kiufupi umetafuta vipicha vya mwaka 2007 huko ...

Majiji yote Yana slum ila mbeya wana vibanda vya kuku ...maana slum Kuna wajanja sasa hyo mbeya yote ni madongo na mavumbi....
By the way mwanza ukiacha ,igogo, mabatini, mbugani na kigoto ,,,hamna mtaa mwingine una slums
Mbeya ni kote anzia uyole,meta ,mafiati , Iwambi, forest,mama john,mbalizi , nsalaga ni mavumbi tu.

Ona jiji hapa
si ulikuwa unataka aerial view..leta mtaa mkali zaidi ya huu hapo mbeya (picha za juu tu )

MJI WA KIJANI , NYUMBA CLASSIC, MAZINGIRA SAFI ...LAKE BREEZE NEAR BY ..
 
Si ulitaka aerial view...kama wew super boy mwamba.leta picha za juu za mitaa yenu ya mbeya ..
... ukiniletea mtaa mkali kama huu hapo grini siti niite mbwa nimekaa pale

THE CAPRIPOINT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…