Unatfuta mlango wa kutokea [emoji116][emoji116][emoji116][emoji12][emoji12][emoji12][emoji382]Umeanza kuiba mabasi yetu [emoji23][emoji23]
Tajiri gani tena huyo?Unatfuta mlango wa kutokea [emoji116][emoji116][emoji116][emoji12][emoji12][emoji12][emoji382]
Ebu pitia hapa usijikute huoni
Pride of geita....
Huu unyama hamna mtu wa nsalaga anaweza kumiliki ..suburieni fadhila za kina sauli , shabiby na new force watu dar huko [emoji12][emoji12][emoji116][emoji382][emoji1732]View attachment 2441205View attachment 2441207View attachment 2441208View attachment 2441209
Mgodi huo .....,,, Tajiri mmoja hapo GOLD TOWN....amenunua special Kwa ajili ya staff wa migodi yake [emoji91][emoji91]Tajiri gani tena huyo?
Yule mtu mfupi wa Njombe anajua ni kusanya abiria wa mikoani. [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mgodi huo .....,,, Tajiri mmoja hapo GOLD TOWN....amenunua special Kwa ajili ya staff wa migodi yake [emoji91][emoji91]
Hii sekta Naomba uachane nayo....Istiqaama Secondary School Sumbawanga.
Bukoba mna shule ngapi za Private Kali Kama hii?[emoji116]
Yule udumavu umeathiri thinking capacity yakYule mtu mfupi wa Njombe anajua ni kusanya abiria wa mikoani. [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hili jengo la shule ya msingi ya serikali Rumuli...lingekuwa mbeya kingekuwa chuo kikuu...Istiqaama Secondary School Sumbawanga.
Bukoba mna shule ngapi za Private Kali Kama hii?[emoji116]
Mwenzako nilichuna maana sioni mitaa hot hukoMitaa ya kishua Mbeya ni vichekeshoo π€£π€£π€£π€£
View attachment 2441042
Kwa shule za Serikali,Bukoba mkashindane na Tunduma.Hili jengo la shule ya msingi ya serikali Rumuli...lingekuwa mbeya kingekuwa chuo kikuu...
Eti kive...hii si sawa na must...
Shule ya msingi ya serikali Rumuli Bukoba View attachment 2441249View attachment 2441250
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sema u umekosa mitaa ya Mwanza badala ya kujikosha hapa.Mwenzako nilichuna maana sioni mitaa hot huko
Nilishakwambia huko kwenu Kuna mapipa mnayoita mabasi..Unatfuta mlango wa kutokea [emoji116][emoji116][emoji116][emoji12][emoji12][emoji12][emoji382]
Ebu pitia hapa usijikute huoni
Pride of geita....
Huu unyama hamna mtu wa nsalaga anaweza kumiliki ..suburieni fadhila za kina sauli , shabiby na new force watu dar huko [emoji12][emoji12][emoji116][emoji382][emoji1732]View attachment 2441205View attachment 2441207View attachment 2441208View attachment 2441209
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ Hizo mikweche ndio VIP zenu?Nimeamini kweli udumavu uliharibu akili yako ...wenzio tunakuletea end route..weww unaleta via ruti ... kama mko far above.leta bus zinazoishia mbeya .[emoji16][emoji16][emoji382][emoji12]
Sindano bado haijafika kwenye mshipa wa tako vizuri [emoji116]
Chuga to Rock City [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2441202View attachment 2441203
Hio ni primary?...ya serikali...twende mdogo mdogo kwanza....Kwa shule za Serikali,Bukoba mkashindane na Tunduma.
Usongwe Mbeya [emoji116]
Mkapa Primary School Mbeya πHio ni primary?...ya serikali...twende mdogo mdogo kwanza....
Maana najua shule Bukoba hutoboi...hata ulete zote za iringa, mbeya, njombe na Rukwa...
Never izo ni takataka MwanzaVichekesho gani Sasa hapo? Hapo Kuna ushua gani wakati Ni mtaa tuu wa kawaida Jijini Mbeya?
Ingekuwa Ni Mwanza ndio pangekuwa pa kishua Sasa ππ.
Mbeya Ni next level weweπ
Yaan hii ndo masaki ya mbeya [emoji867][emoji867][emoji12][emoji16][emoji16][emoji16]Sema u umekosa mitaa ya Mwanza badala ya kujikosha hapa.
Maana kila ukiweka picha laziwe na uswazi [emoji38][emoji38].
Barabara za mitaani Kama hizi za Mbeya huwezi zikuta huko uswazi city ya Mwanza .
Streets roads in Mbeya City[emoji116]
Ata Mwanza ina shule Nyingi za msingi kuliko DarHii sekta Naomba uachane nayo....
Bukoba shule ndo mahala pake.....
Nakuhurumia tu....
Kumbe kagera ina shule nyingi za msingi kuliko mkoa wa Dar...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app