Nan kakwambia hapo ni nje ya mji? Hapo ni karibu kabisa na bandari ya Bukoba ndo pawe nje ya mji...sema hilo eneo ni la viwanda...kuna viwanda vikubwa bunena zaidi ya vitano...Hako Ka Bukoba kweli Ni kakijiji kalikochangamka yaani 2km uko nje ya Mji?
Kwan huwezi kuishi vijijini ukafanya biashara?Sasa mtu anayejielewa na mwenye biashara zake anaishije Kijijini? Kama Ni mababu watapanda vipi kwenye Gorofa na uzee?
Hizo Ni hulka za watu wanaopenda white collar jobs ambazo ndio sifa za nyie wahaya.Kwan huwezi kuishi vijijini ukafanya biashara?
Wazee wengi sana wa kihaya wakistaafu kazi zao wanarudi vijijini bukoba kufanya zero grazing za ng'ombe wa frijeni na kuuza maziwa...wanaweka vitega uchumi kama vifamasi na vidispensary...
Mimi mwenyew nikiwa mzee najirudia zangu huko Bukoba baada ya kujenga huko nifanye shughuli ndogo ndogo za uzee...
Hao wafanyabiashara wasiostaafu ni wachuuzi.Hizo Ni hulka za watu wanaopenda white collar jobs ambazo ndio sifa za nyie wahaya.
Wafanyabiashara hawana kitu inaitwa kustaafu.
Dah mwenyewe nimecheka Sana wakati saiz miji mingi ni kuanzia km kumi na point ndo unakua nje ya mjiHako Ka Bukoba kweli Ni kakijiji kalikochangamka yaani 2km uko nje ya Mji?
Eti anajitetea kwamba sio nje ya Mji Sasa Kuna viwanda Katikati ya Mji? 😂😂Dah mwenyewe nimecheka Sana wakati saiz miji mingi ni kuanzia km kumi na point ndo unakua nje ya mji
Lol...aisee...hii ni slum sio mji huu...
Mji au unplanned settlements?..miji inakua ovyo ovyo ndo inapanuka panuka hovyo, huku huduma za kijamii zikiwa majanga kama ilivyo mbeya...Dah mwenyewe nimecheka Sana wakati saiz miji mingi ni kuanzia km kumi na point ndo unakua nje ya mji
Kwamba mikocheni viwandani ni nje ya mji sio...Eti anajitetea kwamba sio nje ya Mji Sasa Kuna viwanda Katikati ya Mji? [emoji23][emoji23]