Kahama VS Njombe/Mafinga

Endelea kujifariji na mabasi ya abood, sisi Mwanza tulishatoka huko muda ngoja tukuache wewe ambaye umekuja kuona luxury buses baada ya kuingia chuo.
Mlishatoka muda πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ🀸🀸🀸🀸

Mtapanda Sana kwenye mabodi ya vyuma chakavu.

Dar-Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221129-162410.png
    162.9 KB · Views: 6
Vumilia tu si kosa letu Mwanza kuletewa sgr, na nyie mtapata baada ya miaka 100, kwasasa endeleeni kupanda mabasi.
Tulishatoka huko kitambo saizi Ni mwendo wa vyuma Mneso..

Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221127-145025.png
    158.1 KB · Views: 6
Hii round about ndio imekuzuzua au kuna kitu kingine hapo, mimi naona ukame na nyumba za ajabu zenye kutu hakuna kingine.
Kwa ugumu huu wa maisha Sina Shaka ndio unakufanya unatokwa mapovu hivyo sio bure 😁😁.

Afu utawasikia wakisema wao Wana chakula kingi πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-155240.png
    82 KB · Views: 6
Karibu kanda hii ujione mabasi ya luxury og achana na mbwembwe za mayutong ya huko kusini.
Acha vichekesho wewe naona imeamua kuwa comedian.😁😁

Mabasi mapya yatoke wapi huko kwa washamba? Nyie mtalundikwa kwenye Mabehewa fake ya train
 
Tanzania inaenda kuwa world biggest supplier wa helium gas huku Mbeya na Rukwa wakipata big boost to their GDP and Revenues..

Tunaita the awakening sleeping giants,this follows the new commercial discoveries of helium gas kwenye Bonde la Ziwa Nyasa.

Mwanza mpo? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221201-061809.png
    105.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221201-061842.png
    48.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221201-062131.png
    53.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20221201-061925.png
    68.7 KB · Views: 5
Isamilo haijawah kuwa na slums labda kama kuna Isamilo nyengne uko Mbeya Uswekeni
Kwa hiyo wewe kwako hapa Kuna Nini Kama sio uswazi? Hii sio Isamilo? Umeanza kukana kwenu baada ya kuona mauchafu?πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20221201_063622.jpg
    267.8 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…