The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Nyumba za Sumbawanga zinazidiwa na nyumba za bukoba vijijiniSumbawanga mitaani kwetu..
Haters wanaoishi zizini na ng'ombe watakwambia kumepauka
Safi Sana,watatukoma awamu hii.Makambako CBD inazidi kuotesha viota
View attachment 2388623View attachment 2388624View attachment 2388625View attachment 2388626View attachment 2388628
We kilaza Tanzania Kuna mikoa inaitwa Musoma na Bukoba ?Mbeya yachapwa vibaya kwenye mapato ya mkoa mzima ....shy town,musoma na bukoba ...View attachment 2388532
Leta figure hapa ...sio maneno maneno tuWe kilaza Tanzania Kuna mikoa inaitwa Musoma na Bukoba ?
Unaelewa maana ya GDP?..
Afu usijisahaulishe Kwamba Mwanza inachapwa vibaya sana na Mapato na Dodoma?
Hii ndio green city tunayoambiwa Kila siku ..aisee kumekauka vibaya mno ...Race ya Vyuo inaendelea Mbeya..
Ujenzi wa Lecture Theater na Computer Lab for Catholic University College of Mbeya at Forest ares Mbeya City ukiendelea
Ujenzi DIT phase one umeanza .....maji mtayaita mmaUjenzi wa Lecture Theater,Library and Computer Lab at TIA Mbeya Campus..
Kutakuwa na jengo moja kubwa Sana hapa
Hata mfurukute vip,,,hamna wa kuleta mijengo mikali kama hii hapo viaziniMakambako CBD inazidi kuotesha viota
View attachment 2388623View attachment 2388624View attachment 2388625View attachment 2388626View attachment 2388628
Hata mfurukute vip,,,hamna wa kuleta mijengo mikali kama hii hapo viazini
The Golden town View attachment 2388695haha angalia hizo mzee cbd lazima ibadilike tu
Hata mfurukute vip,,,hamna wa kuleta mijengo mikali kama hii hapo viazini
The Golden town View attachment 2388695haha angalia hizo mzee cbd lazima ibadilike tView attachment 2388706View attachment 2388708