Kahama VS Njombe/Mafinga

Hizo nyumba zimetapakaa Kila Kona mzee tembea uonet
Kumbuka hapo ni vijijini interior kabisa mzee....acha kutaja visenta center ....namaanisha kijijini...


Kwa Tanzania hii sehemu zenye vijiji vilivyo na nyumba kali na nzr ni kagera na Kilimanjaro na kidogoo kwa wanyakyusa huko mbeya...

Sehemu nyingine ukitoa centres huko pengine hali ni tete...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mnaishi vichakani kama waganga wa kienyeji
Migomba imekuwa vichaka sio...

Huo ndo utamaduni wa watu...wanaishi kwenye vivuli...

Hivyo unvyoita vichaka ndo vinatoa ndizi zilizozagaa tz nzima maarufu kama ndizi Bukoba....ambazo huwezi maliza week bila kuzionja..

NB.75 YA NDIZI ZOTE NCHINI ZINATOKA KAGERA

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mjini kunafanana hivi πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220922_200731_368.jpg
    377 KB · Views: 12
  • IMG_20220922_200730_618.jpg
    501 KB · Views: 10
Mbeya ni kama Dar kuna CBD 2 ya Mwanjelwa na Sokomatola.

Fire πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20211222_093034_617.jpg
    1.1 MB · Views: 8
  • 1686207111210218141315019345917_13.jpg
    86.8 KB · Views: 11
Huwezi Kuta barabara kali kama hizi Lake zone yote πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20220921_202604.jpg
    210.4 KB · Views: 12
  • 20220921_202740.jpg
    298.5 KB · Views: 12
Njombe-Dar kuna kampuni nyingi Sana kushinda Kahama ,yet bado mnashindana na Njombe..

Njombe Express,
Sweet Africa,
Jacob Express,
Super feo express,
Luwinzo Express,
ABC Upper Class,
Budget Movers,
Japanese Express,
New force,
Tuvavile Express,
Nyagawa Safaris,
Deluxe Tours,
Upendo Travellers,
Galaxy Royal Class

πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-084042.png
    97.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220924-084755.png
    75.3 KB · Views: 11
  • 20220924_095454.jpg
    127.4 KB · Views: 11
  • 20220924_095913.jpg
    128.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220924-095325.png
    140.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220924-162119.png
    145.5 KB · Views: 10
  • 20220925_090857.jpg
    56.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220924-160340.png
    124 KB · Views: 7
Miji ya Nyanda za Juu Kusini inazidi kukua siku hadi siku..

Kutoak Dar-Ubaruku .

Galaxy Royal Class,
Luwinzo ExpressπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-083657.png
    135.4 KB · Views: 11
  • 20220924_095524.jpg
    160.9 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…