Kuna campus na vyuo vikuuHaaaa kwa hiyo umechagua panapokufurahisha tuu si ndio?
Ni hivi Mwanza haiwezi kukohoa kwa Mbeya..
Vitu vya maana kama hivi utavikuta Mbeya sio Mwanza..
UDSM MCHAS Mbeya π
The so called City ina university moja ππππ.
mkoa mzima mnajivunia hyo nmb wakat buhongwa tu kuna nmb kubwa kuliko hyo ππππNMB Sumbawanga π
Mna bahati mbaya sana yaani km 10 tuu za lami mjini,wapi soko na stand?
Umesikia vizuri kweli 10km+12km+soko+stand. billion 37Mna bahati mbaya sana yaani km 10 tuu za lami mjini,wapi soko na stand?
Km 12 za ziada umezitoa wapi? ππUmesikia vizuri kweli 10km+12km+soko+stand. billion 37
Sikiliza clip vizuri, kuna special economic zone (Zongomela) ndio wanaweka 12, ndani ya Manispaa halafu 10km nyingine ndio mjini kati.Km 12 za ziada umezitoa wapi? ππ
Nipo kahama hapa mambo ni fireeSikiliza clip vizuri, kuna special economic zone (Zongomela) ndio wanaweka 12, ndani ya Manispaa halafu 10km nyingine ndio mjini kati.
B37 zinamwagwa na TACTIC, nilipita juzi Kahama naona Halmashauri Hospital wananyanyua kiota kingine. Ukipata nafasi tumwagie mapicha MabossNipo kahama hapa mambo ni firee
Hizo hazina faida yeyote kwa umma maana ni barabara za industrial area haziko kwenye streets wanakotumia watu.Sikiliza clip vizuri, kuna special economic zone (Zongomela) ndio wanaweka 12, ndani ya Manispaa halafu 10km nyingine ndio mjini kati.
Video rendering ππMikdde hicho kiwanda kimejengwa maeneo gani Kahama?
Kipo mbulu missionHizo hazina faida yeyote kwa umma maana ni barabara za industrial area haziko kwenye streets wanakotumia watu.