Sasa na hiv ni vitu vya kujisifia kweli[emoji23][emoji23]Tule pozi tuone na wawekezaji wanasemaje
View attachment 2362218View attachment 2362219View attachment 2362220
Hahaha aliyejisifia Nana soma statement inasemajeSasa na hiv ni vitu vya kujisifia kweli[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huku hakuna uswazi kama huko kwenu Bali Kuna proper town planning huwezi Kuta barabara imejengwa ubavuni mwa nyumba..Kuna nyumba za watu kweli hapo me naoga giza na vichaka vya watu pembeni ya hiyo barabara.
Hilo jamaa ni choko achana nalo ππMuwe mnatembea na maeneo mengine ya nchi sio kukaa ndani tu kama utumbo mala kashai kibeta kitendaguro kahororo.ihungo nyakanyasi ghana sasa miji mingine mtaijuaje?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]hii si bora hata butimba hospitalHilo jamaa ni choko achana nalo [emoji16][emoji16]
Pale Bugando kuna tumajengo 4 tuu basi and no landscaping Wala Mandhari mazuri ya hospital kama ilivyo kwa Mbeya Zonal Referal Hospital [emoji116]
Eti π[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]hii si bora hata butimba hospital
Nimekwambia hivi Bugando nzima ina tumajengo 4 na ni mbaya ina mandhari ya hovyo,hapo unageuza geuza tuu tupicha..[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2362310View attachment 2362311View attachment 2362313View attachment 2362314
Lake Zone hatutaki ujinga
Nyie ni wajinga miaka yote..Lake Zone hatutaki ujinga