The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Picha zile zile kwenye angle tofauti tofauti..Iringa ni best Town hapo kusini..mbeya huwezi pata street yenye skyscraper kama hii .View attachment 2349270View attachment 2349271View attachment 2349272
Vitu vingine viko wapi...?! Uyole kuna vitu...?! kule Isyesye ni vumbi tupu...Picha zile zile kwenye angle tofauti tofauti..
Hako ni kakijiji tuu kwa Mbeya..
Mbeya sio Jiji la kishamba kwamba kila kitu kimeaongamana mjini kati kama Iringa au Mwanza..
Maelezo matupu hayana msaada . mwanza ni level ya dar na kidogo Arusha .. wengine ni uchafu tuPicha zile zile kwenye angle tofauti tofauti..
Hako ni kakijiji tuu kwa Mbeya..
Mbeya sio Jiji la kishamba kwamba kila kitu kimeaongamana mjini kati kama Iringa au Mwanza..
Story 1970s unaleta Njombe imezaliwa2012 inazidi kuifunika mikoa mikongwe.Ninachokiona ni neglect na uzubavu tu ndio sourceMbona ukisoma hilo gazeti...huyo docta kaelezea vzr kabisa...
Jinsi mkoa ulivyokuwa bora miaka ya uhuru na kurudi nyuma miaka ya hiv karibuni...
Ukisoma hilo gazeti kwa case study ya kagera utaona sababu kwa nini nchi yetu bado ni maskini...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Uyole peke yake ni sawa na Ka Iringa koote..Vitu vingine viko wapi...?! Uyole kuna vitu...?! kule Isyesye ni vumbi tupu...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ingekuwa talk buildings ndio Jiji basi Hapa Tzn majiji yalitakiwa kuwa yafuatayo,
Southern Highlands Hotel 5 Star Hotel Mbeya π5 star Hotel za Mbeya ππππππππ
Huyu jamaa huwa anatuona na sisi mazuzu kama yeye
View attachment 2349727
Lol! π π π π uwe unatembea tembea usijifungie huko mashambaniSouthern Highlands Hotel 5 Star Hotel Mbeya π
Huna hojaLol! π π π π uwe unatembea tembea usijifungie huko mashambani
OUT Mbeya πSawa, unayo wewe πππππ lol
Hilo jamaa ni zuzu kabisa yaan hiyo Guest House ety anaita 5 star HotelSawa, unayo wewe πππππ lol
Ukisikia maumivu ujue ππππHilo jamaa ni zuzu kabisa yaan hiyo Guest House ety anaita 5 star Hotel
Hatupost majengo,,,,hata usemejeIngekuwa talk buildings ndio Jiji basi Hapa Tzn majiji yalitakiwa kuwa yafuatayo,
Dar,
Arusha,
Dom,
Iringa,
Morogoro.
Maana Hata Mwanza majengo marefu hayazidi 10.