Acha ushamba nasi..unadhani mwanza ni jiji la makalioni kama huko usafwani ...Kwa Kina mwakatozoNi lini Mwanza itapata route ya Tanga?
Mbeya to Tanga [emoji116]
Ukipata jengo kama Hili Kanda ya Ziwa yote unitag..Hospital ya rufaa Kanda .bugando ..Kanda ya ziwa inabaki kuwa jamhuri inayoweza kujitegemea Kila sector View attachment 2336758
[emoji706][emoji706][emoji706]huo uchafu uliozungukwa na vijumba vya uswazi ...huwezi linganisha na hospital yenye hadhi kama hii[emoji116][emoji116]Ukipata jengo kama Hili Kanda ya Ziwa yote unitag..
Hospital ya Rufaa ya Mbeya,Idara ya mama na mtoto.. Modern and classic sio kama hayo mabweni mnajenga mnaita hospital [emoji116]
Beautiful and amazing..Uwekezaji mkubwa katika taaluma ...city college..wilaya ya magu ...View attachment 2336759View attachment 2336760
Unatia huruma kinoma[emoji14][emoji14][emoji16][emoji95]Beautiful and amazing..
Chuo Cha Utumishi wa Umma Mbeya [emoji116]
Wivu utakuua..[emoji706][emoji706][emoji706]huo uchafu uliozungukwa na vijumba vya uswazi ...huwezi linganisha na hospital yenye hadhi kama hii[emoji116][emoji116]View attachment 2336772View attachment 2336774View attachment 2336775
Ni aibu.tupu kutuletea hospital chafu kama hii .. vijengo kama kituo Cha afya .Wivu utakuua..
Hospital ya Rufaa ya Kanda,Mbeya [emoji116]
Wewe endelea kujisemesha inakusaidia kupunguza maumivu mimi Kazi yangu kukupa dozi tuu hadi ujinyee..Ni aibu.tupu kutuletea hospital chafu kama hii .. vijengo kama kituo Cha afya .
Si bora hata ya mkoa sekotouere[emoji116][emoji116][emoji91]View attachment 2336806
Mimi Kazi yangu ni kukutandika nyundo tuu wewe jisemeshage..Unatia huruma kinoma[emoji14][emoji14][emoji16][emoji95]
Lasima udate 🔥🔥Ila huko kuna vumbi sana walai[emoji23]
Umenikumbusha kakonko huko kigoma kwenye kambi ya JKT...
Mnatia aibu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kusini huwezi pata chuo kikali kama hviLasima udate [emoji91][emoji91]
Mzumbe University Mbeya Campus kama mbele yaani pande za Ankara [emoji116]