Kahama VS Njombe/Mafinga

Kw

Kahama sio makao makuu ya Shy
 
Wivu tu ...kiboko ya mbeya ni hii[emoji116][emoji116][emoji116] .. soon tutaendelea kuona wambunge wenu wananunua viwanja mji Mpya huku ..na wewe unakaribishwa kununua japo huna hela hizo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116]View attachment 2336121
Na viwanja vya Ilemela uko nje bei ni sawa na CBD ya Mbeya
 
Nilisema humu kwamba Route ya Dar Mbeya ina mabus mengi Sana na Orodha nikaweka,naendelea kuwatandika..

Another one, Green line πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-133153.png
    208.8 KB · Views: 8
Acha excuses br0 me nilisema CBD ya Mbeya ni sawa na Buzuruga
 
Acha excuses br0 me nilisema CBD ya Mbeya ni sawa na Buzuruga
Hapo kwenye uswazi wa Buzuruga kwako niletee jengo moja tuu kama hili hapa liko Kabwe gorofa 11 πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20211222_093034_617.jpg
    1.1 MB · Views: 13
Jiandae kuhama
Hakuna mnaishi Vijijini mnaita Miji..

Ona haya mabasi makali ya ndani ya Miji midogo midogo ndani ya Mkoa wa Mbeya..

Kanda ya Ziwa hilo bus linhefanya route ya Mkoani πŸ˜†πŸ˜†
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-135412.png
    160 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…